koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Wewe kila sehemu upo dah sikuwezi mimi> Endless Love
> Mr Magic
> Dragon Gate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kila sehemu upo dah sikuwezi mimi> Endless Love
> Mr Magic
> Dragon Gate
Thanx mkuu> Endless Love
> Mr Magic
> Dragon Gate
Hatarii
[emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaah mie mzururaji wa JFWewe kila sehemu upo dah sikuwezi mimi
hahaha Mission yake ilifeli, lakini akawaokoa watu kinyume na mapenzi yake.Kama si juhudi za yule mhuni wa Kirusi Vladimir Gojayev, sijui hali ingekuwaje mule ndani ya ile safe ya hela.
Sio kweli[emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaah mie mzururaji wa JF
Kwanini?Sio kweli
Sijawahi kukuona kwenye majukwaa ya sportsKwanini?
Duuuuuh huko mieeh nipo sanaaaaah mbna etiiSijawahi kukuona kwenye majukwaa ya sports
Upo jukwaa gani kwa wingiDuuuuuh huko mieeh nipo sanaaaaah mbna etii
Baridi sana kuleHv kwann migahawa ya wakorea kunakua na jiko kwenye meza za walaji???
Nimeshuhudia mara nyingi sana kwenye series zao
Nani ame check It’s okay not to be okay ep 9 jana?
Daamn hii drama ni [emoji91][emoji91]
Kim soohyun hii drama anaitendea haki kwa kweli
episodes 12 imeendeleaje?Yaaan Yuko vizuri,alililia kwa hisia utasema kweli kumbe igizo tu,hadi chozi lilinitoka.
yuko njema ndo maana anaongoza kwa kulipwa vizuri
Leo nipo nakupekua mkuuingependeza zaidi kama ungeliweka hadharani aina ya zawadi utakayompa mshindi,naogopa nisije nikazawadiwa zawadi ya nyoka aina ya koboko (black mamba).
natania tu.
hahahahaaaaa wiki nzima nimekuwa nikiifuatilia thread yenye kuzungumzia simulizi za nyoka huyu, huwezi amini kuna watu wanafahamu maisha ya nyoka utafikiri wanaishi nao nyumba moja, na cha kushangaza thread yake inakwenda kwa kasi ya 4G kuliko thread ya toa like pata likes.
aigoooooo ndio maana najikuta nashindwa kuacha kuitembelea JF kwa sababu nitajinyima mambo mengi sana kuyafahamu katika ulimwengu huu wenye raha na karaha.
Yoon Shi Yoon a.k.a grand prince hwi
![]()
teh tehLeo nipo nakupekua mkuu
Umenikumbusha huyu mwanadada @demiss na ile kashifa yake JF bhanahahahahahaaaaa umenichekesha sana mpaka watu wanadhani tumezaliwa joseon kumbe tupo Tz.
tarehe 31/08/2018 itakuwa siku ya Ijumaa tunasitisha mkataba kwa muda wa kuitembelea hii thread pendwa.
si kwamba tunafanya hivyo kwa ajili ya kutafuta kiki kwa mashabiki wa thread hii ila umefika muda wa kuishi kimya kimya kama mwanzo tulipokuwa hatujaifahamu hii thread tuone na sisi kiupande wetu kama itawezekana.
kwa hivyo tutaiangalia MR SUNSHINE bila ya mrejesho na uchambuzi wetu humu ndani.
no update
no news za celebrities
hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
ni sawa sawa na kumwambia demiss asiingie chit chat na MMU.
![]()
Nipo nacheki Doctor Stranger nikaona kwanza nitafute maoni yako kuhusu hii drama nikayapata kwenye page 350+teh teh
unanipekuwa humu ndani tu au na kwengineko?
kama ni humu ndani umeshafeli kwa sababu takribani comment zangu zote za mwaka huu nimezifuta
nilianza kucomment humu ndani kuanzia page 26, pia nimezifuta mpaka page kukaribia pages namba 200
wiki iliopita nilivuta bangi ya belgium baada ya wajumbe kunikata, hata mchumba wangu Fatuma kibuno hakunipa kura na hasira zangu nilizimalizia humu
hahahahaaaaa koncho una stress za kumalizika kwa premier league.....Nipo nacheki Doctor Stranger nikaona kwanza nitafute maoni yako kuhusu hii drama nikayapata kwenye page 350+
Kilichonisikitisha ulifall in love kwa manzi sijui ni nesi ama ni doctor kwa hyo hukuichambua ipasavyo.
Kazi ninayo ila nitajitahidi kuzoea maana siku sio nyingi inarudihahahahaaaaa koncho una stress za kumalizika kwa premier league.....