chimbuko la stori ilianza hivi mnamo mwaka 2013....
alikuwepo
Mr K (jina lilihifadhiwa),
park shi hoo mwenyewe na
trainee Mrs A (jina lilihifadhiwa). Watatu hao kwa pamoja walikuwa wanakunywa pombe kwenye mgahawa na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa
Park shi hoo kukutana na huyo
trainee Mrs A, baada ya kumaliza kunywa (haijulikani walilewa kiasi gani) watatu hao waliondoka kwa pamoja na kuelekea nyumbani kwa
park shi hoo...
twende mbele:
wakati wa uchunguzi wa hiyo kashfa zilitafutwa camera za eneo walilokuwa wakipata huduma ya vinywaji, camera zilionyesha yule
mrs A aliondoka mwenyewe bila ya kupewa msaada wowote (ina maana hakuwa amelewa sana).
lakini:
camera nyenginezo zilionyesha ya kwamba
mr k alionekana akimbeba huyu
trainee Mrs A (ina maana binti hakuwa na ufahamu wowote).
binti baada ya kuamka anasema alijikuta akiwa mtupu huku akifanyiwa matendo ya kinyanyasaji (molestation) na
Mr K.......
mr k kwenye utatezi wake wa kwanza anasema hivi:
asubuhi yake tulichati na mrs A kuhusiana na kile kilichofanyika usiku wa jana na kwenye mazungumzo yetu hapakujiri hata mara moja hoja ya yeye kumfanyia matendo maovu kinyume na maamuzi yake
pia bwana park shi hoo alipinga hilo (madai yake ni kwamba kila walichokuwa wakifanya hapakuwepo na tendo la nguvu, binti alikuwa anafahamu kinachoendelea)
teh teh teh
kimbembe zaidi bwana park shi hoo alifeli kwenye vipimo vya kujua whether kinachozungumzwa ni kweli au uongo lakini binti alifaulu
kesi ilikuwa ni kubwa sana, baadae alijitokeza rafiki wa Mrs A ambaye mwanzoni alikuja na madai ya kwamba huenda rafiki yake alipewa madawa ndipo wakamfanyia matendo maovu, baadae zikavuja chatting zao za message madada hao wawili,
blah blah blah kibao mwisho wa siku pande zote mbili nadhani waliamua kufanya makubaliano (settlement)