Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahha haka katabia ukikaendekeza kila drama utaiona mbovu kumbe nzuri
hiyo hali imenikuta mimi kwa sasa, ni mwendo wa kusoma jina la drama na muigizaji mkuu.

kuna moja inaitwa the good detective inasifiwa sana lakini nafsi imegoma kuangalia drama zaidi ya mbili kwa wiki
 

Attachments

  • 1596133372683.png
    445.7 KB · Views: 4

Doh inawezekana aysee
Ila mbona kama Park ok ran anajitahidi kuigiza mambo ya mama yake moon young like zile note alizokua anaandika na hata ule wimbo?
Halaf yule muuaji alizungumzia binti yake pia sijui hawawezi kutenganishwa? Huyo mtoto ni Moon young?
Nmeona Twitter kuna mtu pia alikua anaongelea theory ya kwamba yule head nurse ni ndugu yake moon young
 
Hapa ni mwendo wa kusolve kesi hatua kwa hatua hadi unajikuta nawe ni mtaalamu wa masuala hayo. Ngoja niivute episode 2 niione
hiyo hali imenikuta mimi kwa sasa, ni mwendo wa kusoma jina la drama na muigizaji mkuu.

kuna moja inaitwa the good detective inasifiwa sana lakini nafsi imegoma kuangalia drama zaidi ya mbili kwa wiki
View attachment 1521877
 
Uwiiiiiii mbona Mambo ni mengi ivi,mi nilivyoona ameenda kwenye cursed house nikajua ni mama yake sema amefanya maplastic surgery.alaf inakuaje anaujua wimbo ambao yule mzee haupendi na kuuimba makusudically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…