DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
kila jambo linalotokea lina baraka, huwezi jua pengine hizo episode 9 zingelikuwa ni kichocheo kikuu cha kurudi kwenye ulevi kwa kasi ya 5GNimesusa, sipakui tena...nilitaka niangalie kdrama tena baada ya miaka miwili ya likizo