Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

currently watching
  1. do you like Brahms = 7.5/10
  2. record of youth = 7.5/10
  3. Alice = 7.5/10
  4. stranger season 2 =7.5/10
  5. lies of lies = 7/10
  6. missing the other side = 7.3/10
August na September ni 🔥🔥🔥
================
store
  1. reply 1988
  2. the gentleman of wolgyesu tailor shop
  3. father is strange
  4. mrs cop season 1
  5. save me season 1
  6. mistress
  7. dear my friends
  8. dong yi
  9. the good detective
  10. fight for my way
Currently Natazama;

Inspiring Generation
Alice
Money game
Money flower
All you are Surrounded
 
images (1).jpeg

Hatimaye nimeimaliza "INSPIRING GENERATION "( GENERATION OF LEGACY)
ilikuwa nzuri sana, nimejifunza mengi humo na kuburudika.
 
Dae naomba unisaidie list ya Korean drama zenye genre ya THRILLER&ROMANCE, Kama hautojali mkuu 🙏
genre ya THRILLER&ROMANCE kwa muda mmoja
labda kwa ninazozikumbuka haraka haraka
  1. IRIS 1 = kim hyun jun (lee byung hun) ni special agent kutoka shirika la NSS anayefanikiwa kufichua uharamia unaotendwa na kundi lenye nguvu kisiasa, kijamii, kibiashara linaloitwa IRIS
  2. IRIS 2 = mwendelezo wake baada ya kifo cha special agent kim hyun jun (aliuliwa na wauaji kutoka kundi la IRIS). nafasi ya lee byung hun ikazibwa na jang hyuk
  3. athena goddess of war: sijui niseme ni muendelezo au upande wa pili wa IRIS, ila nayo ni nzuri sana, nayo bajeti yake ilikuwa ni kubwa sana na pia lead actor ana ushawishi sana kwa sanaa ya korea hususani upande wa movies anaitwa jung sung woong (ana miaka 47 na wala hana stress ya ndoa, kwa nini dae nifunge ndoa)
  4. city hunter = stering ni mrembo kuliko mwanamke wake (halafu anavaa suruali mlegezo, sijui kama anaweza kubeba matofali yule fala)
  5. vagabond = ni nzuri sana
  6. W- Two Worlds = nzuri sana
  7. yongpal
  8. Memories of Alambara = ulimwengu wa game
  9. healer = sijawahi kuiangalia (no comment)
  10. come and hug me = sijawahi kuiangalia (no comment)
 
Mkuu shukrani Sana,kuanzia 1-5,zote nimewahi kuzifatilia Ni nzuri,Ila kuanzia namba 6 sijawahi,ngoja nianze na hiyo W-Two worlds kwakua umesisitiza ni nzuri.Nitakuja na mrejesho.🙏
 
wakorea wameanza ufala

secret forest (stranger) :
production team responded that there is a possibility the drama will produce season 3, they will set a schedule to discuss it.
=====
kwa next year sidhani kama itawezekana.

  1. cho seung woo kwa sasa yuko bize na shooting, project yake mpya ameshirikiana park shin hye na itaanza kuonekana mwaka ujao. Baada ya hapo maybe anaweza kurudi upande wa musical acting
  2. bae dona project ijayo itaonekana netflix akiwa sambamba na gong yoo (sina uhakika kama wameshaanza shooting)....mara paap kingdom season 4

tvN watumalizie kwanza arthdal chronicles
 
Back
Top Bottom