kila jambo linalotokea lina baraka, huwezi jua pengine hizo episode 9 zingelikuwa ni kichocheo kikuu cha kurudi kwenye ulevi kwa kasi ya 5GNimesusa, sipakui tena...nilitaka niangalie kdrama tena baada ya miaka miwili ya likizo
Kwa hiyo unanishauri pia niache?kila jambo linalotokea lina baraka, huwezi jua pengine hizo episode 9 zingelikuwa ni kichocheo kikuu cha kurudi kwenye ulevi kwa kasi ya 5G
ndio ushauri wangu....jaribu betting huenda ukapata helaKwa hiyo unanishauri pia niache?
Yaani unanishauri niache bangi niende kwenye cocainendio ushauri wangu....jaribu betting huenda ukapata hela
kwa wengine cocaine ni tiba muhimu zaidi ya paracetamol....Yaani unanishauri niache bangi niende kwenye cocaine
[emoji16][emoji16][emoji16] sunbae una nini lakinikwa wengine cocaine ni tiba muhimu zaidi ya paracetamol....
betting inachangamsha akili, wakorea wanadumaza akili (muda wote unakuwa kwenye mode ya kufanya jambo lenye ugumu kwa mazingira ya nyumbani)
mara unawaza piggyback riding
mara unamwaza mkaka fulani mwenye lipstick
blah blah kibao
kuna katuni naangalia, huenda ndio imehama rasmi na akili zangu muda huu.[emoji16][emoji16][emoji16] sunbae una nini lakini
teh teh tehMimi hiyo avatar yako ya sasa ndio imenifurahisha sana.
teh tehHahaaaa Mkuu yale ya kule tuyaache kule.
swadakta...Hahaaaa basi samahani, huu ni uzi wetu pedwa wa kupozea hasira za muoka mikate.
ZOTE HIZO DRAMA ZIMENIVUTIA.
Dah! miye siwezi kuacha kuangalia K- Drama.Nimesusa, sipakui tena...nilitaka niangalie kdrama tena baada ya miaka miwili ya likizo
hahaha Mara unawaza unakunywa Soju, au Spaghetti.kwa wengine cocaine ni tiba muhimu zaidi ya paracetamol....
betting inachangamsha akili, wakorea wanadumaza akili (muda wote unakuwa kwenye mode ya kufanya jambo lenye ugumu kwa mazingira ya nyumbani)
mara unawaza piggyback riding
mara unamwaza mkaka fulani mwenye lipstick
blah blah kibao
Hata mimi sijawahi kutaka kuacha kwa hiyari yangu. Mazingira yananilazimishaDah! miye siwezi kuacha kuangalia K- Drama.
Hapa nilipo natamani kuirudia Jumong, Emperor Wang gun, Kingdom of Wind,Dae Joyoung n.k
waonaje tukafanya swapping ya nafsi (natamani niache kuangalia wakorea kama wewe japo kwa miezi 6)Hata mimi sijawahi kutaka kuacha kwa hiyari yangu. Mazingira yananilazimisha
We angalia tu, kwani wanakunyonya damu?waonaje tukafanya swapping ya nafsi (natamani niache kuangalia wakorea kama wewe japo kwa miezi 6)
pumbavuuuuuuuuuu......by vicent kigosi a.k.a RayWe angalia tu, kwani wanakunyonya damu?
[emoji16][emoji16][emoji16] mwenyewe. Btw nimerudi tena kuangalia ile niliyofuta 'The gentlemen of Wolgyesu tailor shop'pumbavuuuuuuuuuu......by vicent kigosi a.k.a Ray
hiyo kasi ulioanza nayo ni kubwa sana (tafadhali punguza)[emoji16][emoji16][emoji16] mwenyewe. Btw nimerudi tena kuangalia ile niliyofuta 'The gentlemen of Wolgyesu tailor shop'
Kwa nini unadhani nimeanza na kasi kubwa?hiyo kasi ulioanza nayo ni kubwa sana (tafadhali punguza)