Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yaani unanishauri niache bangi niende kwenye cocaine
kwa wengine cocaine ni tiba muhimu zaidi ya paracetamol....
betting inachangamsha akili, wakorea wanadumaza akili (muda wote unakuwa kwenye mode ya kufanya jambo lenye ugumu kwa mazingira ya nyumbani)
mara unawaza piggyback riding
mara unamwaza mkaka fulani mwenye lipstick
blah blah kibao
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sunbae una nini lakini
 
kuna katuni naangalia, huenda ndio imehama rasmi na akili zangu muda huu.
kwani wewe huvutiwi na wapaka makeup wa kikorea?

mimi navutiwa na wale ahjumma ambao ukienda nyumbani kwake anakulazimisha ule chakula chake....

karibu upate ramyeon, supu ya mkia wa nguru....
 
kwa wengine cocaine ni tiba muhimu zaidi ya paracetamol....
betting inachangamsha akili, wakorea wanadumaza akili (muda wote unakuwa kwenye mode ya kufanya jambo lenye ugumu kwa mazingira ya nyumbani)
mara unawaza piggyback riding
mara unamwaza mkaka fulani mwenye lipstick
blah blah kibao
hahaha Mara unawaza unakunywa Soju, au Spaghetti.
 
Back
Top Bottom