Ngoja nijaribu halotel, maana Airtel huku niliko Sasa unaweka bando afu haulitumii, sio kwamba unakosa muda yaani loading mpaka unatamani kuipasua simu 😃.Voda wana speed nzuri Ila bando zao bei ghali sana.Kuna halotel 1500 unlimited(usiku pack)
Kuna toboa night airtel gb 10 sh 1500
Voda kama una laini ya chuo gb 2.5 kwa sh 1000 night pack
Chaguo lako tu hapo na kasi ya mtandao eneo ulilopo
N
Ngoja nijaribu halotel, maana Airtel huku niliko Sasa unaweka bando afu haulitumii, sio kwamba unakosa muda yaani loading mpaka unatamani kuipasua simu 😃.Voda wana speed nzuri Ila bando zao bei ghali sana.
Daah, yani Kuna drama umeitaja hapo, niliinunua kwasababu ya kupenda kazi za mhusika mkuu kwenye kazi zake nyingine, Ila nilivyokuwa naitazama season one yote haikunifurahisha kabisa na sikuona sababu ya kuendelea na ya pili.Naizungumzia MR SUN SHINE, au ndo kusema uzuri wake ulianzia season two?
Wazee wa rudi nyumbani kumenoga😃.Daah hapo sasa huwa roho inauma unahisi umetapeliwa hela ya bando.
Ilinitokea kwenye ttcl nikahama
Ipo season 1 tu yenye episodes 24. Binafsi niliipenda sababu inaelezea mapambano ya wakorea kupigania uhuru wao dhidi ya Japan. Ni kazi moja nzuri sana kama unapenda historical dramas.Daah, yani Kuna drama umeitaja hapo, niliinunua kwasababu ya kupenda kazi za mhusika mkuu kwenye kazi zake nyingine, Ila nilivyokuwa naitazama season one yote haikunifurahisha kabisa na sikuona sababu ya kuendelea na ya pili.Naizungumzia MR SUN SHINE, au ndo kusema uzuri wake ulianzia season two?
Mimi huwa natumia halotel unlimited bundle 1500 (nina line 4G) nadowload kwa kissasian...ninaset mzigo naotaka kudowload kama drama mbili (episode 32) naacha mzigo unapakuliwa taratibu ikifika asubuhi mambo shwaaa... Najisevia.N
Ngoja nijaribu halotel, maana Airtel huku niliko Sasa unaweka bando afu haulitumii, sio kwamba unakosa muda yaani loading mpaka unatamani kuipasua simu 😃.Voda wana speed nzuri Ila bando zao bei ghali sana.
DuuhMimi huwa natumia halotel unlimited bundle 1500 (nina line 4G) nadowload kwa kissasian...ninaset mzigo naotaka kudowload kama drama mbili (episode 32) naacha mzigo unapakuliwa taratibu ikifika asubuhi mambo shwaaa... Najisevia.
Mmmh basi nimeamini watu hitofautia katika swala zima la mitazamo.Ile drama ni moja kati ya drama niliyoiweja katika list ya drama mbovu nilizowahi kuangalia.Ipo season 1 tu yenye episodes 24. Binafsi niliipenda sababu inaelezea mapambano ya wakorea kupigania uhuru wao dhidi ya Japan. Ni kazi moja nzuri sana kama unapenda historical dramas.
Mimi huwa na stream online moja kwa moja kupitia kissasian bila kudownload,ngoja nijaribu kudownload nione efficiency yake.Mimi huwa natumia halotel unlimited bundle 1500 (nina line 4G) nadowload kwa kissasian...ninaset mzigo naotaka kudowload kama drama mbili (episode 32) naacha mzigo unapakuliwa taratibu ikifika asubuhi mambo shwaaa... Najisevia.
Unatumia simu au PC?Mimi huwa natumia halotel unlimited bundle 1500 (nina line 4G) nadowload kwa kissasian...ninaset mzigo naotaka kudowload kama drama mbili (episode 32) naacha mzigo unapakuliwa taratibu ikifika asubuhi mambo shwaaa... Najisevia.
Natumia simu kushusha.Unatumia simu au PC?
Mimi huwa natumia halotel unlimited bundle 1500 (nina line 4G) nadowload kwa kissasian...ninaset mzigo naotaka kudowload kama drama mbili (episode 32) naacha mzigo unapakuliwa taratibu ikifika asubuhi mambo shwaaa... Najisevia.
Aisee watu mnafaidi kweli, ngoja nitafute memory card yenye GB nyingi niwe nazipakuaMkuu huo mzigo unaingia ndani ya saa moja na nusu. Hio ina maana ukiutosa usingizi wako usiku huo unapata drama tatu zenye episode 20,32 jaribu siku moja utatuletea mrejesho safi kabisa humu.
Huwa unatumia browser gani?
Aisee watu mnafaidi kweli, ngoja nitafute memory card yenye GB nyingi niwe nazipakua
Hio browser niliikuta kwenye simu imeandikwa "Browser" (sijawahi kuiupdate) ukitumia Kissasian kwa kutumia FE inadownload 6 episodes at a go zingine zinakua pending... Sasa ninachofanya hua nacklick episode zote nazozitaka then inakua inapakua yenyewe ... Means kila mara episode moja ikimaliza kujidownload ingine automatically inaanza kujiwload katika zile zilizokua pending ( six at a time)... It's funny nikijaribu kutumia kwa njia hiyo hiyo kwa browser zingine kama Chrome na UC mini kwenye hio hio simu inagoma kupakua kwa pamoja... Pia niliwahi jaribu kuinstall the same browser toka playstore kwenye simu nyingine nikajaribu kudownload kwa njia hiyo ikagoma mpaka nikajiuliza nikipoteza hii simu itakuaje... Wajuzi wa haya mambo mnielezee jamani hii imekaaje!!!Mkuu huo mzigo unaingia ndani ya saa moja na nusu. Hio ina maana ukiutosa usingizi wako usiku huo unapata drama tatu zenye episode 20,32 jaribu siku moja utatuletea mrejesho safi kabisa humu.
Huwa unatumia browser gani?
Memory yako ina GB ngapi? Na browser gani unatumia ambazo ziko poa kwenye kupakua?Kabisaa memory card kubwa mpango mzima. Huwa natumia browser tatu kwa wakati mmoja na zote nimeziset kwenye SD card halafu memory ya simu nimeiachia dramania japo huwa inazingua siku nyingine
hizi akili ningezitumia kutafuta hela ningekua mbali sana
#badonipo3G
Memory yako ina GB ngapi? Na browser gani unatumia ambazo ziko poa kwenye kupakua?
Duuh ahsante kwa kunijulishaNilinunua ya 32gb ila nikakuta ina 29.72 gb sio mbaya bado inasaidia
Kwenye simu nilikuta Phoenix browser naitumia pia kuvutia movies,uc mini(hii kwangu ipo fasta sana) UC browser(hii siku hizi majanga inakwama kwama ila naenda nayo hivyo hivyo)
Zaman Phoenix ilikua inavuta hata saba ila kwa sasa ni episode nne tu. UC mini inavuta episode hata 20(nimeset sita sita kwa wakati mmoja) UC browser nimeset sita pia kulingana na siku inaweza vuta episode 8. Hapo ni kwa 3G.
Hio browser niliikuta kwenye simu imeandikwa "Browser" (sijawahi kuiupdate) ukitumia Kissasian kwa kutumia FE inadownload 6 episodes at a go zingine zinakua pending... Sasa ninachofanya hua nacklick episode zote nazozitaka then inakua inapakua yenyewe ... Means kila mara episode moja ikimaliza kujidownload ingine automatically inaanza kujiwload katika zile zilizokua pending ( six at a time)... It's funny nikijaribu kutumia kwa njia hiyo hiyo kwa browser zingine kama Chrome na UC mini kwenye hio hio simu inagoma kupakua kwa pamoja... Pia niliwahi jaribu kuinstall the same browser toka playstore kwenye simu nyingine nikajaribu kudownload kwa njia hiyo ikagoma mpaka nikajiuliza nikipoteza hii simu itakuaje... Wajuzi wa haya mambo mnielezee jamani hii imekaaje!!!