Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
N
Ngoja nijaribu halotel, maana Airtel huku niliko Sasa unaweka bando afu haulitumii, sio kwamba unakosa muda yaani loading mpaka unatamani kuipasua simu 😃.Voda wana speed nzuri Ila bando zao bei ghali sana.Kuna halotel 1500 unlimited(usiku pack)
Kuna toboa night airtel gb 10 sh 1500
Voda kama una laini ya chuo gb 2.5 kwa sh 1000 night pack
Chaguo lako tu hapo na kasi ya mtandao eneo ulilopo