Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Startup ya kizungu au ya kikorea??
 
Itaewon class inasifiwaaa ila akina mie naiona ya kawaida mnoooo.

Kkondae intern nayo hivyo hivyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…