TTCL mambo yako motojamani amkeni, amkeni wizara mpya ishafanya ya kwake.
sasa ni rasmi tumestaafishwa kufuatilia movies, series na drama kwa njia ya mtandao.
halotel hongereni kwa hichi mulichotufanyia
- bando la usiku limeondoshwa
- kifurushi cha siku kwa GB 1 kimeondoshwa
- vifurushi vyenginevyo vimerambwa mnoooo
============
upande wa zantel kwa huku zanzibar
kutoka GB 3 kwa siku kwa shilingi 2000 hadi mb 900 kwa shilingi 2000
na mabadiliko mengineo
===========
watu wa Airtel na vodacom vipi huko tunaweza kuhamia?
sisi wengine tunahitaji japo kifurushi cha usiku
=========
kikao kimeanza rasmi chenye lengo la kujadili haya mabadiliko, kama huamini ingia kwenye menu yako.
aminas mlevi mwenzangu uliyebobea
Numbisa mlinzi mwenzangu wa usiku tunatokaje
talnam mfukuza upepo kimya kimya
missyrose mlevi mwengine wa korea
Great Conqueror huko kaskazini huduma zenu ni nzuri?
na malegendary wengineo mukipata wasaa muhudhurie kwenye kikao
dah! bye bye wakorea?
Mouse inatisha, Yan usiku wa kuamkia jana mpaka nliweweseka ile Ep 8 Ila nimo hapa nimeshusha ya 11.Kwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa
1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.
2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
aminas hiyo "Mouse" inahusiana na Nini? Pamoja na "Vincenzo" ili inishawishi kuchekiKwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa
1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.
2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
Mimi Huaga Najitahidi Kuangalia Asubuh au Mchana Ila Niwe Na Muda Wa Kuangalia Vingine Ili Niisahau Ikikaa Iyo tu Kichwani Inanisumbua.Mouse inatisha, Yan usiku wa kuamkia jana mpaka nliweweseka ile Ep 8 Ila nimo hapa nimeshusha ya 11.
Vincenzo very refreshing
마우스 Ni Thriller Na Mystery Drama, Serial Killer, Wanaonyesha Namna Ya Awa ma Serial Killer Walivyo na Vinasaba Vya Kiuaji Tangu Wakiwa Matumbon Mwa Mama Zao Na Mara Nyingi Hua Wanarithi Kutoka Kwa Wazazi Wao au Mazingira yanawafosi kua Ivyo.aminas hiyo "Mouse" inahusiana na Nini? Pamoja na "Vincenzo" ili inishawishi kucheki
Sorry mamii hii mouse inahusu nnKwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa
1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.
2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
Naanza kuzifuatilia wiki hiiKwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa
1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.
2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
onlyalvira Maelezo Yake Na Haya Apa Mami.마우스 Ni Thriller Na Mystery Drama, Serial Killer, Wanaonyesha Namna Ya Awa ma Serial Killer Walivyo na Vinasaba Vya Kiuaji Tangu Wakiwa Matumbon Mwa Mama Zao Na Mara Nyingi Hua Wanarithi Kutoka Kwa Wazazi Wao au Mazingira yanawafosi kua Ivyo.
Kwaiyo Ni Vita kati ya Wauaji na Polisi Tena Ni Wale Wauaji Wauaji Kumjua Utumie Akili Sabbau ni Watu Wenye Akili Nyingi Kutokana Na Drama.
aminas umeniambia kwa upande wa MOUSE tu Asante kwa Hilo vipi kuhusu VINCENZO inahusiana na Nini?마우스 Ni Thriller Na Mystery Drama, Serial Killer, Wanaonyesha Namna Ya Awa ma Serial Killer Walivyo na Vinasaba Vya Kiuaji Tangu Wakiwa Matumbon Mwa Mama Zao Na Mara Nyingi Hua Wanarithi Kutoka Kwa Wazazi Wao au Mazingira yanawafosi kua Ivyo.
Kwaiyo Ni Vita kati ya Wauaji na Polisi Tena Ni Wale Wauaji Wauaji Kumjua Utumie Akili Sabbau ni Watu Wenye Akili Nyingi Kutokana Na Drama.
Dramanice.soNaombeni link ya kudownloadia ,hii niliyonayo imestuck.
Six flying dragon aimalizie hadi aisee yi bang won mtoto nyoko Sana yule[emoji1][emoji1][emoji1][emoji15][emoji15][emoji15]Mbona series kali ndo umeziendea taratibu??hyo six flying dragons ulipata wapi ujasiri wa kuishia njiani?? kwakweli nilikesha alafu nilikua ntaifatilia ikiwa bado ongoing nilishindwa kuivumilia iishe.
Hiyo arang ngoja niieke kwny list......za mizmu ya uwongo na ukweli niliipenda gumiho na the scholar who walk at night (skumbuki jna vzuri)
Kijana mpaka leo ujaniambia uzuri wa drama ya VINCENZO ni upi?Navillera ....wale wa ongoing na musical drama kitu hiko