Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Haujaielewa maana yangu dada Khantwe ,kuna baadhi ya vitu vinabaki kuwa tamaduni za wakorea au wafilipino, sasa unakuta mdada wa kibongo anataka aige kila kitu anachojifunza kupitia hizo drama kisha akilete kwenye uhalisia wa maisha au mapenzi ya kibongo,ukikuta msela kakaza hawezi muelewa[emoji2].

Ukitaka kuamini kama jamii na utamaduni wake, angalia vijana wa sikuizi wanaojiweka softsoft (lainilaini), kama wale wanaume wa kikorea, wengi wao wanaishiwa kudhaniwa kuwa ni mashoga.
 
Exactly, you've hit the point. Movie zimefanya wadada watake kuishi miasha ambayo sio level yao kabisa, hilo sio kosa ila kosa lao ni kutaka kufika level hiyo kwa njia za panya shortcuts.
 
Kwa mfano kwenye upande wa mahusiano ni jambo gani ambalo lipo kwa wakorea na ila ni kinyume na tamaduni zetu? Usiniambie homosexuality maana hata kule kwao ni taboo
 
Halafu unamaanisha nini wanajiweka laini laini? Au rangi yao inakuzingua?
 
Mambo ya kufuata wasanii haya...mimi nimemfuata Mr Kim stiff kwenye welcome to waikiki niko episode ya 6 bado hata sijaelewa kinachoendelea
Nilimfata Yule dada wa parasite kwenye cheat on me if you can...nikaishia ep ya 12

Na memorist mpaka shingo inauma haikuninogea.

Nakomaa na law school sababu actors ni wazur wazur tu
 
nitafutie painter of the wind
 
Umesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
Korea ni moja ya nchi duniani zinazojali usafi.Huduma ya choo korea ndio huduma bora na safi duniani.So ukiona wanatapika huku wameshika sink la choo ni sabab wana uhakika kila mtumiaji wa choo anajali usafi.Na korea ni moja ya nchi yeny maji safi na salama kwa kunywa.Kila unapona bomba linatoa maji hata kama ni mtaani bas tambua ni safi na salama.So huo ndio utamaduni.Kuna vitu ambavyo wakiwa wanafanya mtu unaeza ona kama ni utoto lakin ndio utamaduni wao
 
Kwa mfano kwenye upande wa mahusiano ni jambo gani ambalo lipo kwa wakorea na ila ni kinyume na tamaduni zetu? Usiniambie homosexuality maana hata kule kwao ni taboo
Homosexuality sio taboo kwao sema kwa baadhi ya watu.Ila msimamo wa nchi haikatazi wala sio kosa la kisheria ndio maana kuna ma celleb ambao wako open kua ni gays
 
Sijui wakorea wameishiwa content? Mara ya mwisho kuangalia drama ya kikorea iliyonikamata ni mwaka juzi, ile VAGABOND.
Sio wameishiwa content sema ni ucahguz wa drama nzuri kwa miaka ya hivi karibun channel nyingi ni kweli hazitoi drama nzuri lakin bado kuna channela kama TVN na JTBC wow hawa naweza nika waita wafalme wa hizi kazi
Kaangalie

Mouse
Vicenzo
Mr.Queen
Kingdom
Crash landing on you
Sky castle
World of married
Hospital playlist
Doom at your service
Youth of may
 
Doom at your service na youth of may, ni nzuri? Nataman nizishushe Ila wale actors siwajui
 
Doom at your service na youth of may, ni nzuri? Nataman nizishushe Ila wale actors siwajui
Doom at your service ni best ongoing kwa saiv Seo In Guk (mkaka)hua anaigiza vizura sana kama umewah kuona

King's face
Goblin na
King of shopping Louis nadhan utamjua vizur.kwa uapnd wa yule mdada park bo young nae ni one of best actress yupo kweny

Strong woman do bong soon na Oh my ghost
 
Aisee, kama una muda jaribu kuangalia angalau drama tatu kati ya hizi tano, utakuja kunishukuru

Kwa wenye Telegram nimeambatanisha na channel za kuzipata

1. Doom At Your Service (2021) - ongoing
Telegram: ✔️ Official - Doom At Your Service (2021)

2. Vincenzo (2021) - completed
Telegram: ✔️ Official - Vincenzo (2021)

3. Taxi Driver (2021) - ongoing
Telegram: ✔️ Official - Taxi Driver (2021)

4. My Roommate Is A Gumiho (2021) - ongoing
Telegram: ✔️ Official - My Roommate Is A Gumiho (2021)

5. Youth Of May (2021) - ongoing
Telegram: ✔️ Official - Youth Of May (2021)
 
Asante
Nazishusha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…