Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nitawatafuta. Ila Chengine Nilichovutiwa na BTS ni Namna Walikotokea Mpka Ivi Walivyo Leo, Big Hit Ya Kipindi BTS Wanatambulishwa Haikua Na Nguvu Kushindana Na SM na YG Lakini Vijana Hawakukata Tamaa Japo Kuna Makundi Baadhi Yalianzishwa Chini ya Big Hit Yakavunjika Ila Hawa BTS Waliweza Kuvumilia We Mnaenda Kushindanishwa na EXO's Wa Kipindi Kile Lazima Ukate Tamaa..

Ila Park Hyo Shin Atabaki Kuwa Kipenzi Sana Kwangu Kwa Wakati Wote.
 
nimesoma hiyo sentensi yamwisho tu, huko mwanzoni nitamtafuta president ng'ombe anisomee
jicho langu moja halioni
 
Naelewa Apo Nimekugusa, Ila Naelewa Pia Vile Usivyowaelewa Vijana Wangu.
nawaelewa sana tu ila hawajachukua eneo kubwa la upendo ndani ya nafsi yangu
huo wimbo wao mpya waliouachiwa wiki nne zilizopita unaoitwa butter ndio nauangalia muda huu kwa sababu ya hizi stori
 
nawaelewa sana tu ila hawajachukua eneo kubwa la upendo ndani ya nafsi yangu
huo wimbo wao mpya waliouachiwa wiki nne zilizopita unaoitwa butter ndio nauangalia muda huu kwa sababu ya hizi stori
Karibu Chamani - Sikiliza Rap Ya RM, Suga Na J-Hope Niambie Nani Yupo Vizuri kati Yao.
 
Ana Kibao Chake Icho- 좋은사람 Achana Nacho Kabisa.
pale unapoomba nafasi nyengine ya kutubia haliyakuwa muda umeshaisha.

yawezekana kuwa nimeshachelewa, ila bado nakuomba radhi kwa maumivu niliyokupatia
kama utanipa tena nafasi na kurudi tena kwangu
nitakuwa kama mwanaume yule wa mwanzoni (uliyevutiwa naye na kumuamini)
Can’t you come back again?​
===============================

fool (바보) naipenda sana
I’m asking you, even if I’m not by your side, take care of your health
If I could meet you just once, I want to relay what’s left in my heart

breakup nyengine bwana
 
Mmh hapo umepata hasara. Halafu sijui nani aliwadanganya masuala ya season yaani story ilikua inaenda vizuri tu ghafla wakairefusha na kuweka vipande wanavyojua wao wakaishia njiani ati kusubiria season two
Nimekomaa nayo nimemaliza..sio mbaya sana japo siwezi recommend kwa mtu.

Halafu, ina maana mama wa kambo anavutiwa na mwanae kimapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…