Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Family drama nyingi zina hisia na story zinazogusa maisha ya kila siku. Japo zina episode ndefu ila kwangu ndo home sweet home nazipenda. Ila nimejaribu kuvuta kumbukumbu sehemu yenye huzuni sijaiona au labda sinaga hisia za huzuni sana. Ukipata muda angalia father is stranger nayo nzuri
Hapo kwenye episode nyingi ndio kizungumkuti. Ahsante kwa pendekezo nitajitahidi niangalie..... Mr Seo aliniliza mimi jamani mbaya zaidi yule mzee nampendaga siku nyingi kwa hiyo tabu aliyokuwa anaipata mule ndani nilikuwa naumia kama ndio kwelI vile
 
Kitu nilikua cjui ni kua TVN wana chennel Africa.Asante sana DSTV kwa kuniletea TVN Africa channel number 134.Kwa wale mnautimia ving'amuzi vya DST mnaweza kua mnaona drama za TVN kweny TV tu.Haina haja ya kutumia mi bundle ya data,zmetafsiriwa kwa kingereza chepesi mno.
 
Inapatikana kwenye kifurushi kipi
 
Kitu nilikua cjui ni kua TVN wana chennel Africa.Asante sana DSTV kwa kuniletea TVN Africa channel number 134.Kwa wale mnautimia ving'amuzi vya DST mnaweza kua mnaona drama za TVN kweny TV tu.Haina haja ya kutumia mi bundle ya data,zmetafsiriwa kwa kingereza chepesi mno.
Mnainjoi wenyewe ila mimi zilizotafsiriwa sipendi nataka niwe nasikia ile lugha yao ndio napata burudani mpaka basi
 
So sad bora waondoe tu lile neno bila kikomo ni mtego mbaya sana. Wakili msomi wakili machachari wakili mtaalamu nae sio mwingine bali Auntie.

Mil 5 si ya kuiachia aiseee
Numbisa nimekupa kazi ya kunitafutia wakili msomi, au hutaki mgao wa millioni 5?
Nimepewa GB 5 badala ya unlimited
ㅋㅋㅋㅋㅋ
kissasian.video
 
the lady in dignity/ woman of dignity:
wakorea wanapenda sana hadithi za kuchepuka, wakorea wanapenda sana maisha ya kifahari yenye kuendana na uvaaji bora, full luxury. Ukitaka kuwakamata wakorea basi watengenezee project zenye maudhui hayo ukichanganya na tatizo lao kubwa la bullying au violence kwa wanafunzi.
episodes 5 za hii drama zimeshanitosha hivyo sitoendelea nayo tena.
nimeshaziangalia sana drama mfano wa hii
1625307192647.png

jealousy incarnate:
nimeitafuta hii drama kwa sababu ya mwanadada anayeitwa gong hyo jin, kama si udhaifu wa hii stori inayozungumzia maisha ya kila siku ya watangazaji wa televisheni basi huu mdude ungelikuwa kucheleeee.Muda mrefu sijapata kuangalia drama yenye maudhui ya love triangle ilioshiba kama hii lakini ndio hivyo sitaendelea nayo tena (hadithi yake bado inataka kuzibwa mashimo kama barabara za zenji)
Episodes 7 zimeshanitosha hivyo sitoendelea nayo tena.

ushawahi kumpenda asiyeonyesha dalili ya kuvutiwa na pendo lako, lakini ukiwa mbali nawe hutamani kukutafuta, kukupenda?
hiyo picha imeshazungumza wenyewe, wamuangalia ila hana habari nawe, ukimuangalia huyu anumia yeye.
kumbe wanaume na wao wanapata kansa ya matiti, sikua nikilifahamu mpaka nilipoangalia hii drama
1625307292243.png

=======================
 
Bado nasubiria list na mie nipate mapya

View attachment 1838746

=======================

ombi langu kwenu kwa mara ya kwanza (sijawahi kuomba, mara zote nimekuwa muombwaji humu ndani)
niwekee lists ya drama bora ulizoiangalia kwa kuanzia mwaka 2016 kwenda chini.
wewe shusha list hata kama hujui ni ya mwaka gani.
hakuna mwanadamu aliyeangalia project zote za wakorea hivyo basi ondoa wasiwasi dhidi yangu.
kazi yangu itakuwa ni kuzichuja
 
Huyu mpemba anataka kunigombanisha na ukoo wa mzaa babu yangu, hajui kama mimi ni shombe la kivietnam, nimekulia bara bahati mbaya

Kesi gani ngumu hivyo😎😒😡
So sad bora waondoe tu lile neno bila kikomo ni mtego mbaya sana. Wakili msomi wakili machachari wakili mtaalamu nae sio mwingine bali Auntie.

Mil 5 si ya kuiachia aiseee
 
Jamani jamani jamani wakati wa foleni ya nida ukasema mzaa babu ana undungu na mzee bulito wa nyerere leo hii ushapeleka damu Vietnam!!!??

Back
Top Bottom