Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mr Queen kwangu mimi ndio best korean drama kwakweli,yule queen mle ni balaa
Anachekesha mno
Anachekesha kupita kiasi. Sijawahi kucheka hivi siki za karibuni.
Miaka hii naona kama Wakorea wanazidi kuwapita Hollywood kwenye comedy movies. Wanajua kubalance tension (vitu serious au vinavyosikitisha) na comedic timing.
 
Na wameshawapita,mana mi hollywood hata mzuka wa kuwacheki sina!wakorea wako makini penye kulia utalia,penye huzuni utahuzunika haswa!
 
kwanini hii chicago imekushinda,
nadharia ya reincarnation inaboa au mtiririko wa hadithi yake unaruhusu kubonyesha next button mara kwa mara.
hii sababu ya pili nilipokuwa naiangalia imenihusu zaidi
Hiyo ya pili...yani ni kama nataka kitu halafu sikipati, sometimes ni Bora kuanza ukiwa huna expectation zozote
 
Ni episode Ya ngapi ya huyu msanii
 
so sad and suspense sijui ik jun atareact vp kwa jun wan
 
ni mimi pekee ndiye ninayekutwa na changamoto hii?
baadhi ya episode ninazopakua kwenye mitandao (hususani mtandao wa kissasian) hazichezi video mpaka mwisho, nikiwa na maana ya kwamba dakika zinatembea lakini video haionyeshi wala kusikia chochote.
 
kw upande wangu huwa inatokea kama haikumaliza ku download mpaka mwisho
 
kw upande wangu huwa inatokea kama haikumaliza ku download mpaka mwisho
kwangu video download zinakamilika
Nilianza kushuhudia tatizo hilo nilipokuwa nafuatilia jewel in the palace drama takribani miezi miwili nyuma, nilichukulia kama ni changamoto ya kawaida tu, niliamini kwa kuwa drama ni ya zamani sana hivyo upo uwezekano wa baadhi ya video zikawa na matatizo

cha kushangaza tatizo linaendelea kujitokeza mara kwa mara
 
Inaitwaje hiyo drama?
 
Inahusiana na nini? Tupe story fupi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…