Asante mkuureply 1988 drama
Unajua taste za drama tunaweza kuwa tumetofautiana ndio maana nikaomba angalau unipe story yake kifupi ndio nione je inafaa kuicheki au laa! Ninaweza nikashusha hizo episode 5 na ikatokea nisiepende.bado naifikiria summary ya kuiwasilisha kwako
wakati waendelea kuisubiria hiyo hadithi fupi jaribu kujisogeza kwenye tovuti husika then uishushe japo episode 5, baada ya hapo naamini hutohitaji tena summary yangu.
teh teh teh
kwangu video download zinakamilika
Nilianza kushuhudia tatizo hilo nilipokuwa nafuatilia jewel in the palace drama takribani miezi miwili nyuma, nilichukulia kama ni changamoto ya kawaida tu, niliamini kwa kuwa drama ni ya zamani sana hivyo upo uwezekano wa baadhi ya video zikawa na matatizo
cha kushangaza tatizo linaendelea kujitokeza mara kwa mara
Mie natumia simu, ndo nahamishia Kwa PC. Kushusha Kwa PC saa sita za usiku ni struggle
Nko very stressed nahitataji comedy itayonifurahisha ushaur please niangalie ipi...?Law school nimejikuta naenda nayo hivyo hivyo mpaka episode 16 jamani jamani inachosha sio tu kwa vifungu vya laws bali haina story nzuri yenye kauhalisia,walitakiwa wa focus maisha ya chuo na mafunzo ya sheria kama medical dramas ila hawa wameenda mbali kupelekana mahakamani mara wanafunzi wa first year wanatunishiana misuli na kigogo mwenye nguvu zake bungeni. Inaenda mbele inarudi nyuma.Nilitegemea watakaa darasani ,wataonyesha struggle za wanachuo wa laws,mitihani,practices za hapa na pale chuoni kisha wakienda fields kama interns
HAINA HATA KISS SCENE YA KUBABAISHIA
Weekend inanikuta na drama ya so i married an anti fan(story ya kuzugia ili mradi tu na wao wamefyatua ka drama)nimependa scene ya japan daah watu wanaishi. Bonge la daraja linalovuka sijui bahari ile hadi hotelini
Nina kiporo cha gye baek(nimekosa historical nimenasa hapa kwa muda,ukichanganya ya mjini na historical inanoga)
Sell your haunted house(ipo poa japo nimevuta mpaka ep 2 ila ntaenda nayo mpaka mwisho)
Bila kusahau family drama i have a lover(shukran kwa sifa ilizopewa na dae,naenda nayo mdogo mdogo)
Happy weekend!!
Yaani nimefungua uzi huu nieleze masahibu ta law school nakuatana na komenti yako...nndio kwanza nipo episode ya 6 sijaelewa kitu. Nataka niipumzishe kidogo niangalie ka komedy kamoja then nitarudiLaw school nimejikuta naenda nayo hivyo hivyo mpaka episode 16 jamani jamani inachosha sio tu kwa vifungu vya laws bali haina story nzuri yenye kauhalisia,walitakiwa wa focus maisha ya chuo na mafunzo ya sheria kama medical dramas ila hawa wameenda mbali kupelekana mahakamani mara wanafunzi wa first year wanatunishiana misuli na kigogo mwenye nguvu zake bungeni. Inaenda mbele inarudi nyuma.Nilitegemea watakaa darasani ,wataonyesha struggle za wanachuo wa laws,mitihani,practices za hapa na pale chuoni kisha wakienda fields kama interns
HAINA HATA KISS SCENE YA KUBABAISHIA
Weekend inanikuta na drama ya so i married an anti fan(story ya kuzugia ili mradi tu na wao wamefyatua ka drama)nimependa scene ya japan daah watu wanaishi. Bonge la daraja linalovuka sijui bahari ile hadi hotelini
Nina kiporo cha gye baek(nimekosa historical nimenasa hapa kwa muda,ukichanganya ya mjini na historical inanoga)
Sell your haunted house(ipo poa japo nimevuta mpaka ep 2 ila ntaenda nayo mpaka mwisho)
Bila kusahau family drama i have a lover(shukran kwa sifa ilizopewa na dae,naenda nayo mdogo mdogo)
Happy weekend!!
Mr QueenNko very stressed nahitataji comedy itayonifurahisha ushaur please niangalie ipi...?
Nilishaangalia Waikiki na strange tMr Queen
My strange hero
Touch your heart
Welcome to waikiki
Thank youMr Queen
My strange hero
Touch your heart
Welcome to waikiki
Nko very stressed nahitataji comedy itayonifurahisha ushaur please niangalie ipi...?
Yaani nimefungua uzi huu nieleze masahibu ta law school nakuatana na komenti yako...nndio kwanza nipo episode ya 6 sijaelewa kitu. Nataka niipumzishe kidogo niangalie ka komedy kamoja then nitarudi
Coffee prince ngoja niiweke kwenye watch listPole
Whats wrong with my secretary
Coffee prince
Descendants of the sun
Ongezea na za khantwe hapo
Sijajua kwa jina lingine inaitwaje...Nilishaangalia Waikiki na strange t
Mr queen ni hii ya bamboo tree au...?
Mimi niliitazama law school mpaka mwisho sababu actors wake wazur wanavutia kweli hahaha Ila stori haikukaa poa ata imeisha kama imeruka ruka tuLaw school nimejikuta naenda nayo hivyo hivyo mpaka episode 16 jamani jamani inachosha sio tu kwa vifungu vya laws bali haina story nzuri yenye kauhalisia,walitakiwa wa focus maisha ya chuo na mafunzo ya sheria kama medical dramas ila hawa wameenda mbali kupelekana mahakamani mara wanafunzi wa first year wanatunishiana misuli na kigogo mwenye nguvu zake bungeni. Inaenda mbele inarudi nyuma.Nilitegemea watakaa darasani ,wataonyesha struggle za wanachuo wa laws,mitihani,practices za hapa na pale chuoni kisha wakienda fields kama interns
HAINA HATA KISS SCENE YA KUBABAISHIA
Weekend inanikuta na drama ya so i married an anti fan(story ya kuzugia ili mradi tu na wao wamefyatua ka drama)nimependa scene ya japan daah watu wanaishi. Bonge la daraja linalovuka sijui bahari ile hadi hotelini
Nina kiporo cha gye baek(nimekosa historical nimenasa hapa kwa muda,ukichanganya ya mjini na historical inanoga)
Sell your haunted house(ipo poa japo nimevuta mpaka ep 2 ila ntaenda nayo mpaka mwisho)
Bila kusahau family drama i have a lover(shukran kwa sifa ilizopewa na dae,naenda nayo mdogo mdogo)
Happy weekend!!
Mimi niliitazama law school mpaka mwisho sababu actors wake wazur wanavutia kweli hahaha Ila stori haikukaa poa ata imeisha kama imeruka ruka tu
Walau huku mbele imeanza kueleweka kidogo na kusema kweli siwezi kuiweka kwenye kundi la drama 'mbovu' kuna vitu vingi vya kufurahishaHao hao (wale wawili kila kona wapo pamoja)wamenikalisha mpaka episode ya mwisho nikitegemea kiss scene yaoπππππ Hope mbeleni watakutanishwa kwenye genre za romantic comedy
Yani wanatamanisha kuwaona, Yule kaka namna anavyomtizama seol A hadi unasikia raha tuHao hao (wale wawili kila kona wapo pamoja)wamenikalisha mpaka episode ya mwisho nikitegemea kiss scene yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hope mbeleni watakutanishwa kwenye genre za romantic comedy