Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

reply 1988 drama
Asante mkuu
bado naifikiria summary ya kuiwasilisha kwako
wakati waendelea kuisubiria hiyo hadithi fupi jaribu kujisogeza kwenye tovuti husika then uishushe japo episode 5, baada ya hapo naamini hutohitaji tena summary yangu.

teh teh teh
Unajua taste za drama tunaweza kuwa tumetofautiana ndio maana nikaomba angalau unipe story yake kifupi ndio nione je inafaa kuicheki au laa! Ninaweza nikashusha hizo episode 5 na ikatokea nisiepende.
 
kwangu video download zinakamilika
Nilianza kushuhudia tatizo hilo nilipokuwa nafuatilia jewel in the palace drama takribani miezi miwili nyuma, nilichukulia kama ni changamoto ya kawaida tu, niliamini kwa kuwa drama ni ya zamani sana hivyo upo uwezekano wa baadhi ya video zikawa na matatizo

cha kushangaza tatizo linaendelea kujitokeza mara kwa mara

Mkuu kingdom Ashin of the North naona imeachiwa nakumbuka ulitoaga review hapa
 
Tukutane hapa kwaajili ya kudiscuss action dramas za kichina,kikorea na kizungu BEST SEASONS😘😘
Huku nikwaajili ya season za mapanga, mkono wa kutosha hatutaki story saana na hata kama story zipo ni ile ya six flying dragon.
 
niandikie japo majina yake
hii

Screenshot_20210726-094813_1.jpg
 
Law school nimejikuta naenda nayo hivyo hivyo mpaka episode 16 jamani jamani inachosha sio tu kwa vifungu vya laws bali haina story nzuri yenye kauhalisia,walitakiwa wa focus maisha ya chuo na mafunzo ya sheria kama medical dramas ila hawa wameenda mbali kupelekana mahakamani mara wanafunzi wa first year wanatunishiana misuli na kigogo mwenye nguvu zake bungeni. Inaenda mbele inarudi nyuma.Nilitegemea watakaa darasani ,wataonyesha struggle za wanachuo wa laws,mitihani,practices za hapa na pale chuoni kisha wakienda fields kama interns

HAINA HATA KISS SCENE YA KUBABAISHIA

Weekend inanikuta na drama ya so i married an anti fan(story ya kuzugia ili mradi tu na wao wamefyatua ka drama)nimependa scene ya japan daah watu wanaishi. Bonge la daraja linalovuka sijui bahari ile hadi hotelini

Nina kiporo cha gye baek(nimekosa historical nimenasa hapa kwa muda,ukichanganya ya mjini na historical inanoga)

Sell your haunted house(ipo poa japo nimevuta mpaka ep 2 ila ntaenda nayo mpaka mwisho)

Bila kusahau family drama i have a lover(shukran kwa sifa ilizopewa na dae,naenda nayo mdogo mdogo)

Happy weekend!!
 
Nko very stressed nahitataji comedy itayonifurahisha ushaur please niangalie ipi...?
 
Yaani nimefungua uzi huu nieleze masahibu ta law school nakuatana na komenti yako...nndio kwanza nipo episode ya 6 sijaelewa kitu. Nataka niipumzishe kidogo niangalie ka komedy kamoja then nitarudi
 
Wameivuruga vibaya mno. Ngumu sana kuivumilia ,ukiwa na stress badala ya kukupunguzia inakuongezea ugumu zaidi

Mimi niliitazama law school mpaka mwisho sababu actors wake wazur wanavutia kweli hahaha Ila stori haikukaa poa ata imeisha kama imeruka ruka tu
 
Hao hao (wale wawili kila kona wapo pamoja)wamenikalisha mpaka episode ya mwisho nikitegemea kiss scene yao😂😂😂😂😂 Hope mbeleni watakutanishwa kwenye genre za romantic comedy

Walau huku mbele imeanza kueleweka kidogo na kusema kweli siwezi kuiweka kwenye kundi la drama 'mbovu' kuna vitu vingi vya kufurahisha
 
Hao hao (wale wawili kila kona wapo pamoja)wamenikalisha mpaka episode ya mwisho nikitegemea kiss scene yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hope mbeleni watakutanishwa kwenye genre za romantic comedy
Yani wanatamanisha kuwaona, Yule kaka namna anavyomtizama seol A hadi unasikia raha tu
 
Back
Top Bottom