mpaka hapa nilipofikia episode 3 ya Hur jun 1999 drama naweza kusema kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha matukio ya drama hii na ile ya Hur jun 2013 dramaNow nimeelewa, Hii 2013 ndio iliyochezwa na Kim Jun. Basi walianza kunichanganyia hapo kwenye Google.
2013 ni zama ambazo pia Wakorea walikuwa vizuri sana, vipi kali kati ya 1999( Geumwa) au 2013 ya ( Kim Jun)
kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download
- software/application ya kuzuia (block) matangazo
- jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
Numbisa
aminas
talnam
missyrose
Great Conqueror
unque bin unuq
na wengineo.
Okay, vipi kuhusu sanaa ya kuvaa uhusika kwa wahusika wakuu na wasaidizi, ipi imekuvutia zaidimpaka hapa nilipofikia episode 3 ya Hur jun 1999 drama naweza kusema kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha matukio ya drama hii na ile ya Hur jun 2013 drama

Hapo nimemiss 17,20 & 18Kati ya Korea Historical drama hizi ni miongoni mwa drama Kali
1: Jumong/Chumo
2:King gwangaeto
3:king geunchogo
4:king daejoyoung
5:king dream
6:Kim suro/soro
7:jeon wuchi
8:The land of wind
9😛rincess jamyoun go
10: Great Queen seundok
11:General gybaek
12:warrior bark do so
13:Iljimae
14:The return of iljimae
15:Faith
16:Great seer
17:scholar who walk night
18:king two face
19:GU family book
20:The rebel........
Izi ni baadhi ya drama nilizo ziangali wakorea kwa historical drama no wazuri
Uc min browser,kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download
- software/application ya kuzuia (block) matangazo
- jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
Numbisa
aminas
talnam
missyrose
Great Conqueror
unque bin unuq
na wengineo.
Natumia dramanice.shkwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download
- software/application ya kuzuia (block) matangazo
- jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
Numbisa
aminas
talnam
missyrose
Great Conqueror
unque bin unuq
na wengineo.
hata ukitumia domain (.sh) itakupeleka kwenye menu kuu ya tovutiSiku hizi natumia kissiasian.li maana sh imepotea
ok niliona ahsante sana,Hii ipo kama kawaida ukifika hapo unachagua FE. Unaweza ukaiplya kwanza kisha uanze kudownload
hata ukitumia domain (.sh) itakupeleka kwenye menu kuu ya tovuti
ok niliona ahsante sana,
changamoto iliopo ni kukosekana kwa video quality 360 kwa hizi drama za karibuni kwenye server ya FE.
nimeona ni bora nistream kwa kutumia server ya P2P au BETA kwa sababu inanipa quality ya 360.
bajeti ya bando ni muhimu, juzi nusura tuangushiwe tena chuma kizito.
Hee..thriller suspense na romance kwa pamoja..mh ngoja ni load kwanza
Msaada sio mpaka hela ni muhimu sisi binadamu kusaidiana so naomba msaada kwenye hiloUtatulipa sh ngapi?
Msaada sio mpaka hela ni muhimu sisi binadamu kusaidiana so naomba msaada kwenye hilo
Huyo hata na hela mi sitajiUtatulipa sh ngapi?
Hicho kipengele ndo sisomagi Yan natizama actors na actress ndo ifae au vipi, hapo ndo kinanikutaga kitu nikiingia mziki wa sci FiHee..thriller suspense na romance kwa pamoja..mh ngoja ni load kwanza