Subscene - Subtitles for Temptation (Yoohok / 유혹)Hii nimedownload episodes mbili lakini inabidi niachane nayo nitafute source nyingine maana haina sub titles nami kikorea sikifahamu
[emoji23][emoji23] unakaa wapi nije nazo tuangalieUwiiiiiiii hiyo nikiipata yote basi hata talaka nijiandae kupewa kabisa maana nitakuwa ktk ulimwengu wangu mwenyewe kwa mwezi mzima.
Hatari sana.
Baba kunakijana anaitwa Bang WO humo in baalaa. Hii ni level ya Sendiok au JumongNimepita sehemu nikakuta mtu anaangalia Six flying Dragon...
Nimeanza kuipenda itabidi nianze kuitafuta
Ina subtitles??
Huyo jamaa na jina lake la wakala kaingilia ID yangu. Mimi ndo nina copyright ya kutumia Freelancer @2008...Huyo mzuuzi sijui alikula maharage ya wapi naye akaanza ku masquerade kama Freelancer. Umuona ha mkimtag mnaishia kuni tag mimi ambaye ndo original Freelancer na sio huyo mdori wa kichinaa 😀😀😀😀😀
So nlijiita jina siyo kwamba nilikopi ID toka kwako la hasha,hata me nilikua na Idea ya kujiita hivi cuz I am Freelancer Wakala wasHuyo jamaa na jina lake la wakala kaingilia ID yangu. Mimi ndo nina copyright ya kutumia Freelancer @2008...Huyo mzuuzi sijui alikula maharage ya wapi naye akaanza ku masquerade kama Freelancer. Umuona ha mkimtag mnaishia kuni tag mimi ambaye ndo original Freelancer na sio huyo mdori wa kichinaa 😀😀😀😀😀
Yani hii series imeniliza sana,dah![emoji23] [emoji23] [emoji23] utaachika uambiwe ukaolewe na yule Kim Soo Hyun shauri yako we waendekeze hao wakorea wako
Nimeipenda sana, sana.Utaipenda
Yaani nzuri mnoo ila hapo mwisho umenichanganya kidogo..wa Boys before flowers na hotel king ndo yupiNdio nimeimaliza The moon that embraces the sun.
Jamani hii kitu ni noma,ambao hamjaicheki itafuteni pls.
At least hii katika Korean historical drama imeishia vizuri.
Nyingine ni full dissapointments!
Huyu kijana sterling yuko vizuri sana kwakweli,bila shaka huyu yupo kwenye The boys before flowers,nimemuona tena kwenye my hotel king,My love from another star n.k
Mi unadhani nimeona nyingi basi..kuna nyingine niliyoipenda inaitwa Flames of ambition sijui utakuwa umeiona ila ni modernYani hii series imeniliza sana,dah!
Nipe suggestions nyingine pls.
Yani hii series imeniliza sana,dah!
Nipe suggestions nyingine pls.
Yule King si yupo kwenye boys before flowers na kwenye hotel King kama mwanamuziki?Yaani nzuri mnoo ila hapo mwisho umenichanganya kidogo..wa Boys before flowers na hotel king ndo yupi
Mmh umechanganya madesa wewe au mi ndo nimechanganya... yule kaka anaitwa Kim Soo Hyun ( huwa nashindwa kuelewa yeye na Minho yupi ana mvuto zaidi[emoji85] [emoji85] ) ngoja ntaangalia tena hotel kingYule King si yupo kwenye boys before flowers na kwenye hotel King kama mwanamuziki?
Ngoja nifanye research ya series alizoigiza.
Kim soo hyun ndo wa kwenye a man from another star,Doctor stranger na hiyo aliyomaliza kuangalia. Yupo kwenye series nyingi Sana na sahivi ndo msanii wa korea anayelipwa pesa nyingi kwa kucheza movie.Mmh umechanganya madesa wewe au mi ndo nimechanganya... yule kaka anaitwa Kim Soo Hyun ( huwa nashindwa kuelewa yeye na Minho yupi ana mvuto zaidi[emoji85] [emoji85] ) ngoja ntaangalia tena hotel king
Mkuu maelezo yako hayajajibu utata tulionao hapa. Ni kweli huyo kaka yupo kwenye hizo alizosema Nifah?Kim soo hyun ndo wa kwenye a man from another star,Doctor stranger na hiyo aliyomaliza kuangalia. Yupo kwenye series nyingi Sana na sahivi ndo msanii wa korea anayelipwa pesa nyingi kwa kucheza movie.
ahsante mkuu kwa taarifa muhimu, nimeshaimaliza THE JING BI ROK THE MEMORY OF IMJIN WAR kiukweli nimetumia siku 5 mfululizo.heshima na amani iwe juu yake director wa drama hii, hawa wakorea si vijana wala si wazee wote ni mahodari mnoooo linapokuja suala la kuigiza.heshima kwake kim sang joong nilimpenda sana kwenye CITY HUNTER ambaye amecheza kama ni RYU SEONG RYUNG,Ongeza na hizi, jingbirok na emperor wang gun. Emperor wang gun ni mzuri sana kwa kuwa imeelezea matukio mengi sana makubwa makubwa kama kupanda kwa matreya buddah, kuanguka kwa shilla, leter three kingdoms. Kutokea kwa magin na taibong empire, fall of balhae kingdom. Raise of wang gun into power, restall the koryeo empire and unification of leter three kingdom (shilla, hubaekje, hugoguryeo) zote zikawa great koryeo