[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora kusaidia wengine sio wewe hauchelewi kujaza masimango kwa kisingizio cha taste zako haziendani na drama husika.
Oppss nilikuwekaga ignore list enzi za uchawa kabla baba levo hajakupindua kwenye cheo kule wachafu koge
Mi pia nilikuwa sitizami ila siku hizi natizama ili nione je mwendo nauweza? Mfano Mouse nilipoona ile genre tu nikaachana nayoHicho kipengele ndo sisomagi Yan natizama actors na actress ndo ifae au vipi, hapo ndo kinanikutaga kitu nikiingia mziki wa sci Fi
UsinikumbusheMi pia nilikuwa sitizami ila siku hizi natizama ili nione je mwendo nauweza? Mfano Mouse nilipoona ile genre tu nikaachana nayo
hiyo utaipata bongo movies pekee kwa sababu ndipo wanapopatikana waandishi magwiji wenye uwezo wa kuegemea pande zote tajwa ndani ya project moja.Nitajieni drama Kali yenye genres: Romance, Thriller, suspense kwa pamoja lakini isiwe ya comedy au starring asiwe ana comedy yaani namaanisha awe serious
bora walivyoghairisha (wakajipange upya)Zigo la juzi lilikua tozo ya vocha ila limehairishwa kwa muda,tukisahau majanga tuliyonayo litarudishwa
Yeah niliambiwa nzuri ila ndio hivyo nilihisi tu sitowezana nayo..mimi na mambo ya kutisha tisha ANIYOOOOOOUsinikumbushe
Nilikua naota vibaya mno mixer kuumwa kichwa, Ila nzuri sema genre yake iko heavy sana
kumbe kuangalia episode 23&24 ya mr sunshine ni kazi nzito afu watu hamsemi 😬😬😬😬Mr sunshine ep 23 naona ilikuwa for sad special maana sio matukio haya.....
umepatwa na tatizo ganikumbe kuangalia episode 23&24 ya mr sunshine ni kazi nzito afu watu hamsemi 😬😬😬😬
naona kila scene ni kama napigwa na kitu kizito sio kwa majonzi yale. Nimetumue zaidi saa 72 kumaliza hizo epsumepatwa na tatizo gani
halafu hata kiss scene ya kupozea maumivu hawajakuwekeanaona kila scene ni kama napigwa na kitu kizito sio kwa majonzi yale. Nimetumue zaidi saa 72 kumaliza hizo eps
ila ilikuwa vyema maana sio kwa gap lile la leading actorshalafu hata kiss scene ya kupozea maumivu hawajakuwekea
the devil judge ngoja niruke nayo kuipa company hospital playlist ingawa nimetoka kumcheck ji sung recently kwa familiar wifewiki yangu inasongeshwa na vinywaji hivi:
- you are my spring
- the devil judge
- the road: the tragedy of one
- hospital playlist
ilimkera kweli pale wazee walezi wa ae sin wanakufa after confessionsasa umeamua kumdhihaki Numbisa
[emoji3][emoji3]kumbe kuangalia episode 23&24 ya mr sunshine ni kazi nzito afu watu hamsemi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
sasa umeamua kumdhihaki Numbisa
Huyo hata na hela mi sitaji
Aje kutuchamba tujutee[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akikuta mbaya anachambaaaaa jamani innocent defendant dah
Naipenda hospital playlist had sitaman iishe...
Nimeanza the road: tragedy one, wasanii wakubwa wakubwa Ila sielewi inaenda Kasi kama law school [emoji1787]
Nevertheless nayo mnh
Any recommendations? Wakati nasubiri hometown cha cha cha
Mnasingizia mwanaume tangu lini akachamba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akikuta mbaya anachambaaaaa jamani innocent defendant dah