Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bora kusaidia wengine sio wewe hauchelewi kujaza masimango kwa kisingizio cha taste zako haziendani na drama husika.

Oppss nilikuwekaga ignore list enzi za uchawa kabla baba levo hajakupindua kwenye cheo kule wachafu koge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akikuta mbaya anachambaaaaa jamani innocent defendant dah
 
Nitajieni drama Kali yenye genres: Romance, Thriller, suspense kwa pamoja lakini isiwe ya comedy au starring asiwe ana comedy yaani namaanisha awe serious
hiyo utaipata bongo movies pekee kwa sababu ndipo wanapopatikana waandishi magwiji wenye uwezo wa kuegemea pande zote tajwa ndani ya project moja.

jaribu hizi (mjukuu wangu wa zamani)
  1. iris 1 and iris 2
  2. Athena goddess of war
  3. healer
  4. mouse
  5. yongpal
  6. flower of evil
  7. lawless lawyer
 
Hospital nimeivuta hadi episode ya 8 ila sijaiangalia nasubiria iishe niiangalie yote. Nipo napambana na the myth(ngumu nafuu ya law school ila kwa ubahili wa mb nimejikuta naipenda maana ntamaliza wiki mbili naiangalia yenyewe tu bila kwenda kutafuta drama nyingine😂😂)

The myth inanitendea mbaya leading actor na actress nimewapenda ila story ngumu. Nikianza kuangalia tu naboreka na hapo hapo nakumbuka kazi ambayo sijaifanya naiweka kando naenda kushughulika nikirudi ni mwendo huo huo mpaka nitaimaliza bila kufoward.

Nimemaliza my roomate is gumiho kwa upande wangu haina mzuka. Hivyo watakuja wa kukupa nzuri zaidi
Naipenda hospital playlist had sitaman iishe...
Nimeanza the road: tragedy one, wasanii wakubwa wakubwa Ila sielewi inaenda Kasi kama law school [emoji1787]

Nevertheless nayo mnh
Any recommendations? Wakati nasubiri hometown cha cha cha
 
Back
Top Bottom