Mbona unaongea vitu vingine ambavyo ni nje ya content alafu mimi siwezi kuchamba kabisa na siwezi kufanya huo upuuzi ila ninapenda kupinga kitu kwa hoja, hakuna haja ya kuwekeana kinyongo au uhasama mbona binafsi nikiwa nimepata drama nzuri na share humu humu na nyinyi kazi inabaki kwa muhusika either kuikubali au la!Bora kusaidia wengine sio wewe hauchelewi kujaza masimango kwa kisingizio cha taste zako haziendani na drama husika.
Oppss nilikuwekaga ignore list enzi za uchawa kabla baba levo hajakupindua kwenye cheo kule wachafu koge
Asante mkuu hiyo ya 5 na 7 nitazitafuta hizo zingine zote nimeziona.hiyo utaipata bongo movies pekee kwa sababu ndipo wanapopatikana waandishi magwiji wenye uwezo wa kuegemea pande zote tajwa ndani ya project moja.
jaribu hizi (mjukuu wangu wa zamani)
- iris 1 and iris 2
- Athena goddess of war
- healer
- mouse
- yongpal
- flower of evil
- lawless lawyer
missyrose mimi na wewe hatuna tattizo nashangaa unaniponda kiasi hicho? Anyway naomba unipe drama yenye maudhui ya Romance iwe ni Kali sio comedy ipo seriously na yenye story inayovutia please maana nimeona genre ya suspense, romance na thriller kwa pamoja file huna.Mi pia nilikuwa sitizami ila siku hizi natizama ili nione je mwendo nauweza? Mfano Mouse nilipoona ile genre tu nikaachana nayo
Asante naona hiyo the myth balaa lake kama la the road... NitaivutaHospital nimeivuta hadi episode ya 8 ila sijaiangalia nasubiria iishe niiangalie yote. Nipo napambana na the myth(ngumu nafuu ya law school ila kwa ubahili wa mb nimejikuta naipenda maana ntamaliza wiki mbili naiangalia yenyewe tu bila kwenda kutafuta drama nyingine[emoji23][emoji23])
The myth inanitendea mbaya leading actor na actress nimewapenda ila story ngumu. Nikianza kuangalia tu naboreka na hapo hapo nakumbuka kazi ambayo sijaifanya naiweka kando naenda kushughulika nikirudi ni mwendo huo huo mpaka nitaimaliza bila kufoward.
Nimemaliza my roomate is gumiho kwa upande wangu haina mzuka. Hivyo watakuja wa kukupa nzuri zaidi
Recently sijaangalia drama mpya bado nipo najikokota na Six Flying dragons..nikimaliza naangalia Oh My Lady lord.missyrose mimi na wewe hatuna tattizo nashangaa unaniponda kiasi hicho? Anyway naomba unipe drama yenye maudhui ya Romance iwe ni Kali sio comedy ipo seriously na yenye story inayovutia please maana nimeona genre ya suspense, romance na thriller kwa pamoja file huna.
Hii the myth ndio kuna Park Shin Hye?Hospital nimeivuta hadi episode ya 8 ila sijaiangalia nasubiria iishe niiangalie yote. Nipo napambana na the myth(ngumu nafuu ya law school ila kwa ubahili wa mb nimejikuta naipenda maana ntamaliza wiki mbili naiangalia yenyewe tu bila kwenda kutafuta drama nyingine[emoji23][emoji23])
The myth inanitendea mbaya leading actor na actress nimewapenda ila story ngumu. Nikianza kuangalia tu naboreka na hapo hapo nakumbuka kazi ambayo sijaifanya naiweka kando naenda kushughulika nikirudi ni mwendo huo huo mpaka nitaimaliza bila kufoward.
Nimemaliza my roomate is gumiho kwa upande wangu haina mzuka. Hivyo watakuja wa kukupa nzuri zaidi
Hii the myth ndio kuna Park Shin Hye?
Zitaje ndio nitajua nimeziangalia au la!Recently sijaangalia drama mpya bado nipo najikokota na Six Flying dragons..nikimaliza naangalia Oh My Lady lord.
Nilizotazama I'm sure karibu zote utakuwa umeangalia boss
Personal tasteZitaje ndio nitajua nimeziangalia au la!
Komaa nayo kiss scene utaikuta mbele kwa mbeleππππkanichekesha maana sikuona hio age gap mie nilikua naona lips zao tu aah walinibania pale ila jamani sikomi tu nipo karibu mno na the myth japo ni ngumu nafuu ya tozo za mama samia ila nasubiria kile kile nilichokikosa kwenye sunshineππ
πππππ Hiyo drama niliiangalia ilimradi kumaliza tu maana sio kwa kuchosha ubongo vileNipo naangalia Memorist mwenzenu hadi kichwa kinaniuma
Yah romance bila comedyPersonal taste
Another miss Oh
Angel Eyes
Innocent man
My love from the star
My girlfriend is gumiho
Are you human too
Hivi umesema romance bila comedy?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo naangalia Memorist mwenzenu hadi kichwa kinaniuma
Mh kwa wakorea vichekesho havikosekani nyingi ni romcomYah romance bila comedy
Daah na mimi nakaribia kumalizaπππππ Hiyo drama niliiangalia ilimradi kumaliza tu maana sio kwa kuchosha ubongo vile
Mimi kuishia njiani huwa naona hasara plus story yake ni nzuri ila daah inachosha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo drama sikumaliza..niliishia kama sio episode ya 6 hivi.
siku utakayomfahamu muuaji mkuu ndipo utakapochoka zaidi, andaa kitanda kabisa cha kupumzisha mwili uliochoshwa na maigizo ya wavimba macho kwa takribani masaa 16 ya siku tofauti.Mimi kuishia njiani huwa naona hasara plus story yake ni nzuri ila daah inachosha sana
Khaaa mbona unanitisha jamanisiku utakayomfahamu muuaji mkuu ndipo utakapochoka zaidi, andaa kitanda kabisa cha kupumzisha mwili uliochoshwa na maigizo ya wavimba macho kwa takribani masaa 16 ya siku tofauti.
Niliishia ep 12 sijui na nlikua na shauku ya kumjua muuaji na nimeshusha yote nikasema nipumzike kwanzaNipo naangalia Memorist mwenzenu hadi kichwa kinaniuma