Nazungumzia starring wawe serious sizungumzii wahusika wengineMh kwa wakorea vichekesho havikosekani nyingi ni romcom
Ngoja waje na wengine wakusaidie
Man in A veil jaribu..japo ndefu kidogoNazungumzia starring wawe serious sizungumzii wahusika wengine
dada yake ndiye muhusika mkuu wa matukio ya mauaji (The Eraser)Niliishia ep 12 sijui na nlikua na shauku ya kumjua muuaji na nimeshusha yote nikasema nipumzike kwanza
Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
Na hizo zingine vip zina matakwa yangu?Man in A veil jaribu..japo ndefu kidogo
Hapo Angel Eyes ndo haina comedyNa hizo zingine vip zina matakwa yangu?
Ngoja niendelee simkumbuki dadaake hata...dada yake ndiye muhusika mkuu wa matukio ya mauaji (The Eraser)
View attachment 1901420
mpaka hapo ulipofikia huwezi kumfahamu, wewe endelea tu mpaka mwisho wa reliNgoja niendelee simkumbuki dadaake hata...
Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
HiI sio fantasy?Hapo Angel Eyes ndo haina comedy
Ila character ya ereser tulipigwampaka hapo ulipofikia huwezi kumfahamu, wewe endelea tu mpaka mwisho wa reli
Asante mamieHapo Angel Eyes ndo haina comedy
Tafuta Pia Undercover Na Beyond Evil.Asante mamie
Asante mzee hiyo undercover nimeiyona ila hiyo Beyond Evil sijaiyona nitaitafuta.Tafuta Pia Undercover Na Beyond Evil.
Hii ni ya kichina?Mr Queen umeangalia boss?
Link hii ndio nyepesi kuliko zote Dramacool | Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HDSiku hizi natumia kissiasian.li maana sh imepotea
KissAsian Official - Watch drama online in high quality
Watch drama online in high quality. Free download high quality drama. Various formats from 240p to 720p HD (or even 1080p). HTML5 available for mobile deviceskissasian.li
Hii ipo kama kawaida ukifika hapo unachagua FE. Unaweza ukaiplya kwanza kisha uanze kudownload(kitufe huwa kinatokea baada ya kuplay video) View attachment 1895531
Au dramacool9.co hapa ukishachagua dramaunaenda kuchagua episode husika inatokea video yake unaclick neno download unachagua server. Kwa upande wangu zinakubali hizo mbili za kati ila doodstream ina mb ndefu.View attachment 1895538
Matangazo mpka nimeshayazoea ni ngumu kuyablock zaid ya kuyawah kabla hayajakupeleka eneo husika
Link hii ndio nyepesi kuliko zote Dramacool | Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD
Airtel wana night pack? Inapatikana wapi?Hivi night pack ya Airtel iko poa? TTCL leo wananzingua
Hapana boss ni ya kwetu. Nakuhakikishia hutojutia bando lako (kama ni mpenzi wa fantasy)Hii ni ya kichina?
Tumepigwa pakubwa mno yaniIla character ya ereser tulipigwa
Khantwe hiyo avatar yako kuna muda huwa nahisi ni wewe,ila nikijaribu kuilinganisha na jinsi ulivyo mstaarabu kwenye hilo jukwaa naishia kucheka tu😂.Hapana boss ni ya kwetu. Nakuhakikishia hutojutia bando lako (kama ni mpenzi wa fantasy)