Shukrani kakabrother, zipo nyingi sana drama zinazozungumzia tawala ya joseon hivyo basi haitokuwa rahisi kuziandika tena kwa mtiririko.
jaribu kupita kwenye link hii utapata msaada wenye kuambatana na details kwa kila drama
Geez!!!Aigooooooooo Kim sajang [emoji23]View attachment 1946387
D.P nimeimaliza
Sema picha za wakorea zinazopitia huko mjin Netflix zina ule uzungu wa kuudhi. Baada ya miaka miwili nadhan tutawaongelea kama za Tyler Perry
Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.Hakuna series Kali kama city hunter ,Bridal mask and VIP
Shukran ,nitaitafuta MkuuKuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
Kabisa mamie mpaka kukuta korean drama imeingia kwenye list yangu ya series Kali duniani ujue hiyo ni Kali iliyopitiliza.Huwezi kuamini hiyo drama niliicheki j'pili alafu J'3 nina paper nikajikuta napitiliza mpaka ule muda niliyopanga nisome.ππππππdaah imekua duniani sio korea pekee
Hehe kuna mwanangu mule ana song lake " i loooooove you Baaaaaaby" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
Binafsi zangu 10 kaliHakuna series Kali kama city hunter ,Bridal mask and VIP
nimekoma na sitorejea tena, kwa faida yako ni bora nikae kimya kwenye huo ushabiki wa kitanzaniaBado Nakuheshimu Sitaki Mi Nawe Tuingizane Kwenye Ushabiki Wa Izi Timu za Tanzania.
Najizuia Sana Daemushin Mi Staki Jamni Una Nipush Sana
ππ€£π
ina ladha fulani hivi ya makjang,High Class Ipoje?
Iyo ya mwisho ni ya kike tafadhali iondoeBinafsi zangu 10 kali
Crash Landing On You
City Hunter
Healer
Prison Playbook
Replay 1988
Iris
Vagabond
Personal Taste
Descendants of the Sun
What's Wrong with Secretary Kim
Ndo Nini Na Aya Nayoyaona Kwenye Road Tragedy One Hata Kunishtua Chingu Kweli.nimekoma na sitorejea tena, kwa faida yako ni bora nikae kimya kwenye huo ushabiki wa kitanzania
haya niondolee hiyo shindano kwenye shingo yangu ili tuendelee na mazungumzo yetu kama ilivyo kawaida.
Iyo ya mwisho ni ya kike tafadhali iondoe
Hii series unaipenda sana yani[emoji1787][emoji1787]Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
Soma vizuri hiyo comment utaelewa.Hii series unaipenda sana yani[emoji1787][emoji1787]
man-na-seo ban ga wo yoAigooooooooo Kim sajang
kila mtu afanikiwe kwa nguvu zake, mambo ya kusubiria media zikuibue kutoka vumbini si kipaombele chetu.Hivi bongo hamna matajiri wa kufranchise hii kitu