Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hakuna series Kali kama city hunter ,Bridal mask and VIP
Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
 
Shukran ,nitaitafuta Mkuu
 
😂😂😂😂😂😂daah imekua duniani sio korea pekee

Kabisa mamie mpaka kukuta korean drama imeingia kwenye list yangu ya series Kali duniani ujue hiyo ni Kali iliyopitiliza.Huwezi kuamini hiyo drama niliicheki j'pili alafu J'3 nina paper nikajikuta napitiliza mpaka ule muda niliyopanga nisome.
 
Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
Hehe kuna mwanangu mule ana song lake " i loooooove you Baaaaaaby" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado Nakuheshimu Sitaki Mi Nawe Tuingizane Kwenye Ushabiki Wa Izi Timu za Tanzania.

Najizuia Sana Daemushin Mi Staki Jamni Una Nipush Sana

😂🤣😎
nimekoma na sitorejea tena, kwa faida yako ni bora nikae kimya kwenye huo ushabiki wa kitanzania
haya niondolee hiyo shindano kwenye shingo yangu ili tuendelee na mazungumzo yetu kama ilivyo kawaida.
Mr.-Queen-Episode-12-Cha-Chunghwa-1024x576.png
 
High Class Ipoje?
ina ladha fulani hivi ya makjang,
itakupa stori ya mwanamama fulani anayetuhumiwa kuhusika na mauaji ya mume wake anayesemekana alifariki kwa kujitupa au kutupwa baharini alipokuwa amepumzika na huyo mke wake (ndani ya boti).

baadae bimdada aliamua kuhamishia maisha yake kutoka seoul na kuelekea kisiwa cha jeju, dhumuni kubwa la kuhamia seoul ni kwa sababu ya mtoto wake, alihitaji kumpeleka shule ambayo itamfanya mtoto awe huru kimasomo.

mpaka hapa nilipofika episode ya 4 kuna maswali yanataka kujibiwa:
  1. kwa nini mwenyekiti wa shule alimtumia binti barua ya maombi ya kumtaka amhamishie shuleni mtoto wake, je ana mfahamu mwanamama?
  2. kuna binti fulani naye alihamia jeju na hatimaye amejiweka karibu sana na lead actress, cha kushangaza mwishoni mwa episode 4 tumeonyeshwa kilichopo nyuma ya pazia. Kumbe bidada anamfahamu lead actress na kuna uwezekano bidada mtoto aliyenae wa kike alizaa na mume wa lead actress. Hata kuna baadhi ya zawadi hususani mavazi na mikoba walizozawadiwa zinafanana
  3. je ni kweli mume alifariki au ameamua kujificha, mume ni muwekezaji mkubwa wasiwasi wangu huenda alitapeli wawekezaji hatimaye akaamua kujipoteza

R658x0.q70
 
nimekoma na sitorejea tena, kwa faida yako ni bora nikae kimya kwenye huo ushabiki wa kitanzania
haya niondolee hiyo shindano kwenye shingo yangu ili tuendelee na mazungumzo yetu kama ilivyo kawaida.
Mr.-Queen-Episode-12-Cha-Chunghwa-1024x576.png
Ndo Nini Na Aya Nayoyaona Kwenye Road Tragedy One Hata Kunishtua Chingu Kweli.

Nasubiria Mwaliko Wa Harusi Bado!
 
Kuna "Innocent Defendent" ni Kali kuliko hizo zote ulizotaja ingawa ulizotaja pia ni nzuri kaicheki kwanza hiyo drama, ina story nzuri alafu inamatukio unpredictable, ina action.katika series zangu Bora duniani hii ipo kwenye Top 3 yangu.Hiyo drama kila ukimaliza episode inakushawishi utazame next episode yaani inaamsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa drama hicho ni moja Kati ya vitu vilivyonivutia.
Hii series unaipenda sana yani[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi bongo hamna matajiri wa kufranchise hii kitu
kila mtu afanikiwe kwa nguvu zake, mambo ya kusubiria media zikuibue kutoka vumbini si kipaombele chetu.
celebrities wetu pia wana dalili za ugoigoi (kujitambisha ovyo), unadhani itakuwa ni rahisi kumweka jukwaa moja platinamu na underground.
sidhani
 
Back
Top Bottom