Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Iko kwenye website karibu zote zilizoorodheshwa humu km kissasian.com imeandikwa "The Immortal Yi Soon Shin"
 
mpaka hapo tu nimepata ambazo sikuwah ziona spy and 2weeks
 
The heirs ameigiza kama nani mbona kasura kageni
 
Binafsi sijaiona series kali ya action + romance + thriller(mjini nt historical) kama IRIS hadithi nzuri na yenye kueleweka....haiishi hamu

Naomba mnitajie ingine yenye mahadhi kama hayo...
Ukiachana na
Athena
Iris2
City hunter
Swallow the sun
Plan B
 
Time between dog and wolf... huwa sipendagi madamudamu ila hii naipenda
 
wakuu nani ameangalia series ya gu family,,,nasikia ni nzuri,,nipeni kisa chake ninn
 
Mmh umechanganya madesa wewe au mi ndo nimechanganya... yule kaka anaitwa Kim Soo Hyun ( huwa nashindwa kuelewa yeye na Minho yupi ana mvuto zaidi[emoji85] [emoji85] ) ngoja ntaangalia tena hotel king
Kim soo Hyun hayuko kny hotel king. Binafsi naona ni handy kuliko Lee....
 
Kim soo Hyun hayuko kny hotel king. Binafsi naona ni handy kuliko Lee....
Yeah...nimefuatilia nashangaa hajaigiza series/drama wala movies nyingi na jamaa yuko vizuri tu.

Currently naangalia movie aliyocheza ya Greatly,Secretly...
Haijanivutia kihivyo lakini nakomaa niimalize.

Amenivutia zaidi kwenye My love from another star na The moon that embraces the sun.
 
Binafsi alinivutia zaidi kwenye hizo mbili, hiyo greatly sijaiona ni ya mjini? Komaa tu umalizane nayo mimi nina muda sijaangalia drama mpya mpaka natia huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…