Nlizoangalia mimi na nikazipenda
Queen:Love and War
The Last Empress
King Maker
Hapo nimetoa za zamani ambazo na assume umeziona kama Dong Yi, Empress Ki, Iljimae na Faith.
[emoji23][emoji23]Daah mimi King maker sikuipenda sijui kwa nini
Asante.Kweli binadamu tunatofautiana,maana naona vinapoteza muda tu
[emoji23][emoji23]
Nna rafiki yangu tulianza kuangalia wote akaishia episode ya 3 akasema mbaya..
Mimi niliielewa sana japo haipo level moja na kina Mr Queen au hata Moon lovers
Kabisa..hucheki mleTunaopenda comedy haitufai wala, haina amsha amsha kabisa ukiacha zile za kuchinjana
Daaah inaonekana nina speed sana, hauwezi amino baada ya kuulizia jana bila kupata majibu niligoogle ilinjione ni historical drama gani nzuri nifatilie, niliqngukia kwenye 100 days my prince na kwasasa muda huu ninavyotype nimetoka kuicheki episode ya 15, ya moshi ntaangalia kesho.Daah kali kuliko Mr Queen? Niwe mkweli mimi historical drama sijaangalia nyingi ninazoweza kukupa labda The crowned clown na 100 days my prince
Daaah inaonekana nina speed sana, hauwezi amino baada ya kuulizia jana bila kupata majibu niligoogle ilinjione ni historical drama gani nzuri nifatilie, niliqngukia kwenye 100 days my prince na kwasasa muda huu ninavyotype nimetoka kuicheki episode ya 15, ya moshi ntaangalia kesho.
The crowned clone nimeangalia 2019 ili kuwa nzuri sana.
Hahahaha , sio kawaida yangu lakini.Mara nyingi sana naziangalia mdogomdogo kutokana na kubanana na majukumu ila hii week nilikuwa free tu nyumbani (karuhusa kaugonjwa), kwahiyo kila nikiishika season naiangalia fluently 😅😅.Khaa wewe mtu... mimi nilikuwa naangalia K2 ninavyosubiria Yumi's cells nimetumia wiki mbili. Ila hata mimi nikiangalia Romantic comedy huwa naenda nayo mbio lakini we kiboko
Me hata sijataka kuiangalia.Squid game kila mtu du mie cjapenda hata kidgo
hii menu umeiona wapi?Tigo ni GB1.1 kwa 1500/=
Wangelituwekea japo GB 3 kwa shilingi 1500, kwa kutumia tovuti ya nkiri unaweza kupakua drama nzima.Sikuizi drama nisipoikuta kule Nkiri.com (hawana drama zote), huwa napata ugumu sana wa kuifatilia maana wanataka MB nyingi ambazo kwasasa zimekuwa kama dhahabu.
Juzi nilitaka kudownload Mr Queen kupitia Kissasian episode moja iliniomba 750MB😁, nilivyoenda nkiri nikaikuta kwa 120Mb-138Mb per episode.
Halotel wnametukatili sana, zamani nilikuwa naandaa Tsh 1500 yangu nisubiri saa sita navuta Gb zangu 5 alafu nashusha mzigo mzima.
Imeonekana dhahiri mwanamke ndiye mkorofi zaidi kwa mujibu wa ushahidi uliowekwa hadharani na dispatch, kwanza ni muongo aliyebobea (alimficha mambo mengi sana kim seon ho)Hopefully atalivuka hili salama bila mambo ya suicide..hawa ndugu zetu ni dakika mbili mbele
Hujapenda kila mtu kuipenda au hujapenda series yenyewe [emoji23]Squid game kila mtu du mie cjapenda hata kidgo
Hali si shari kotekote tu mkuu, leo nimeikumbuka line yangu Tigo niliyokuwa nimeitelekeza kwa muda ili nione kama kuna afueni ya vifurushi,nimejikuta natoka mbio.Wangelituwekea japo GB 3 kwa shilingi 1500, kwa kutumia tovuti ya nkiri unaweza kupakua drama nzima.
Drama imekuingia hadi imeamua kujiita hivyo? Kuna mwenzako humu anajiita INNOCENT DEPENDENT,karibu sana 😂.Hello, me! Nani kaicheki hii drama😂
Hii nimefika ep 11 nashindwa hata kuimalizia, yani kuna namna kama inaenda enda tu.High class ilianza vizuri ila huku mwishoni uongo umezidi