Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Daah kali kuliko Mr Queen? Niwe mkweli mimi historical drama sijaangalia nyingi ninazoweza kukupa labda The crowned clown na 100 days my prince
Daaah inaonekana nina speed sana, hauwezi amino baada ya kuulizia jana bila kupata majibu niligoogle ilinjione ni historical drama gani nzuri nifatilie, niliqngukia kwenye 100 days my prince na kwasasa muda huu ninavyotype nimetoka kuicheki episode ya 15, ya moshi ntaangalia kesho.

The crowned clone nimeangalia 2019 ili kuwa nzuri sana.
 
Khaa wewe mtu... mimi nilikuwa naangalia K2 ninavyosubiria Yumi's cells nimetumia wiki mbili. Ila hata mimi nikiangalia Romantic comedy huwa naenda nayo mbio lakini we kiboko
 
Khaa wewe mtu... mimi nilikuwa naangalia K2 ninavyosubiria Yumi's cells nimetumia wiki mbili. Ila hata mimi nikiangalia Romantic comedy huwa naenda nayo mbio lakini we kiboko
Hahahaha , sio kawaida yangu lakini.Mara nyingi sana naziangalia mdogomdogo kutokana na kubanana na majukumu ila hii week nilikuwa free tu nyumbani (karuhusa kaugonjwa), kwahiyo kila nikiishika season naiangalia fluently 😅😅.
 
Tigo ni GB1.1 kwa 1500/=
hii menu umeiona wapi?
kifurushi cha Saizi yako wanakupa MB 750 kwa shilingi 1500.

kifurushi cha Internet ya kawaida kwa siku sijaona menu ya shilingi 1500, wana kifurushi cha 500, 1000 na 2500.
Hii 2500 wanakupa GB 1.7, kidogo afadhali.

Nasubiria huo uchawi wako wa GB 1.1 kwa buku jero.
 
Sikuizi drama nisipoikuta kule Nkiri.com (hawana drama zote), huwa napata ugumu sana wa kuifatilia maana wanataka MB nyingi ambazo kwasasa zimekuwa kama dhahabu.

Juzi nilitaka kudownload Mr Queen kupitia Kissasian episode moja iliniomba 750MB😁, nilivyoenda nkiri nikaikuta kwa 120Mb-138Mb per episode.

Halotel wnametukatili sana, zamani nilikuwa naandaa Tsh 1500 yangu nisubiri saa sita navuta Gb zangu 5 alafu nashusha mzigo mzima.
Wangelituwekea japo GB 3 kwa shilingi 1500, kwa kutumia tovuti ya nkiri unaweza kupakua drama nzima.
 
Wangelituwekea japo GB 3 kwa shilingi 1500, kwa kutumia tovuti ya nkiri unaweza kupakua drama nzima.
Hali si shari kotekote tu mkuu, leo nimeikumbuka line yangu Tigo niliyokuwa nimeitelekeza kwa muda ili nione kama kuna afueni ya vifurushi,nimejikuta natoka mbio.

Nimeshusha episode tatu ya THE LEBEL hapa ndo nataka niinze safari, ikitokea nimeipenda sijui itakuwaje tu maana ina mzigo wa episodes balaa.
 
Itakuwa wanafahamu kuwa wabongo wanawafuatilia sana!
Kitu inaitwa "The Veil" ni habari nyingine 2021 completed
Screenshot_20211017-155253.jpg
 
Back
Top Bottom