Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ukitoka hii nenda gu family book japo Ina fictional action and characterDaaah inaonekana nina speed sana, hauwezi amino baada ya kuulizia jana bila kupata majibu niligoogle ilinjione ni historical drama gani nzuri nifatilie, niliqngukia kwenye 100 days my prince na kwasasa muda huu ninavyotype nimetoka kuicheki episode ya 15, ya moshi ntaangalia kesho.
The crowned clone nimeangalia 2019 ili kuwa nzuri sana.
Daaah wewe kama mimi tu, kila nikifikiria kushusha mzigo, akili inanambia ni ufujaji wa hela.Night bundles was the best option, hivi hakuna mtandao wowote wenye night bundles?Weekend iyooo ila sasa sina episode mpya. Daah I miss u night bundle
Daaah wewe kama mimi tu, kila nikifikiria kushusha mzigo, akili inanambia ni ufujaji wa hela.Night bundles was the best option, hivi hakuna mtandao wowote wenye night bundles?
GB moja ni utoto.Kwa kipindi hiki hakuna zaidi ya halotel na gb moja yao
Nkiri baba lao, ila sijui kwann aisee sifagiliag kabisa series au movies za kikorea, kichina wala za wajapan.Nkiri.com the best site ever.
Nacheki gu family book hapa
Aiseee Koreans ni the best actorsin the world
Yaani unalia,unacheka,hisia tamu za mapenzi zinakupata ,unapata hofu kabisa
Nkiri.com the best site ever.
Nacheki gu family book hapa
Aiseee Koreans ni the best actorsin the world
Yaani unalia,unacheka,hisia tamu za mapenzi zinakupata ,unapata hofu kabisa
Siku zote mwanzo mzuri hurahisisha safari,huenda séries yako ya kwanza ya kikorea ndiyo iliyokuharibu mentality juu ya series nyingine za aina hiyo.Nkiri baba lao, ila sijui kwann aisee sifagiliag kabisa series au movies za kikorea, kichina wala za wajapan.
Nkiri baba lao, ila sijui kwann aisee sifagiliag kabisa series au movies za kikorea, kichina wala za wajapan.
60 days na undercover
Daa inawezekana kabisa mkuu usemayo, ngoja nitajilazimisha tena kuangaliaSiku zote mwanzo mzuri hurahisisha safari,huenda séries yako ya kwanza ya kikorea ndiyo iliyokuharibu mentality juu ya series nyingine za aina hiyo.
Mimi huniambii kitu juu ya Korean dramas.
Vyovyote tu mkuu nitapokea.Kwa hiyo umekuja kwenye huu uzi kututaarifu kuwa hufagilii kdrama? Unataka tukusaidieje? Tukupe pole, tukupongeze, tukutukane au tukubembeleze uzipende?
Sawa mkuu.Vyovyote tu mkuu nitapokea.
Yani em watusikieWeekend iyooo ila sasa sina episode mpya. Daah I miss u night bundle
Angalia hizi utajuta kupoteza mb zako Innocent Defendent, Vagabond, The Veil na A woman of billion dollarsVyovyote tu mkuu nitapokea.
Naam huwa siangalii ongoing dramas lakini huu mwaka nimezicheki nyingi sana jana nimeanza na Now We Are Breaking Up na The Red Sleeve.
But The Red Sleeve imenipa feeling flani huenda ikawa na sad ending pale ambapo Deok Im alitumwa na Court Lady Jo kwenda kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Crown Princess Young na akakutana na mfalme akapewa kitabu flani hivi huku akipewa nasaha flani kama Court Lady anatakiwa aje kuchagua kuwa Court Lady wa aina ipi na inawezekana hatma yake ikawa kama ya mmiliki wa kile kitabu ambaye ni Crown Princess Young.
Tunaojua hii History ya Consort UI tunaelewa kipi kinaongelewa.
Credits kwa Kimoitv huku unakutana na drama hadi za mwaka 2000 na mb zake chache ni 144-190 kutegemeana na length yakeView attachment 2008857
Shukran mkuuAngalia hizi utajuta kupoteza mb zako Innocent Defendent, Vagabond, The Veil na A woman of billion dollars
Kama ni za ngumi ngumi na mapigano kwa ujumla hapana aisee.Angalia hizi utajuta kupoteza mb zako Innocent Defendent, Vagabond, The Veil na A woman of billion dollars
Umeshaichk series ya Homeland? 24 na prison break je, maudhui haya ndo huwa napendaga, ujasusi, usaliti, siasa chafu, ugaidi etc hapa sibanduki.Angalia hizi utajuta kupoteza mb zako Innocent Defendent, Vagabond, The Veil na A woman of billion dollars