Ndio ni ya kimjini na ameigiza spy hivyo anajifanya taahira kumbe yupo kwenye mission.Binafsi alinivutia zaidi kwenye hizo mbili, hiyo greatly sijaiona ni ya mjini? Komaa tu umalizane nayo mimi nina muda sijaangalia drama mpya mpaka natia huruma.
Sawa mydear...enjoyNdio ni ya kimjini na ameigiza spy hivyo anajifanya taahira kumbe yupo kwenye mission.
Ngoja nikiimaliza nitakupa mrejesho.
Mkuu asante sana kwa jibu lakoUwa ni kutoka korea kusini japo kwenye storyline uwa zinacombine north na south maana wale ni watu wamoja wametengana tu miaka ya karibuni haifiki hata 70.
Ila walikuwa na falme mbali mbali
Sometimes storyline pia zinajumuisha wachina mfano jumog ile han kingdom ni wa chinaMkuu asante sana kwa jibu lako
Sometimes storyline pia zinajumuisha wachina mfano jumog ile han kingdom ni wa china.Mkuu asante sana kwa jibu lako
Kuna utofauti mkubwa mno kwny rafudhi kati ya kikorea na kichina.....wachina wanatumia nguvu sana kuongea but Korea wako smooth sanawale ni wa Korea kusini..
Ila tu Kama alivosema elmagnifico kuwa huwaga wanakua na story zinazohusu ,Korea kaskazini/Japan/China!
itategemea na story ya movie kuna hizi za mjini... hasa hasa zinahusu Korea kusini ,kidogo Sana zinaweka mambo ya kaskazini.
Ila historical zinajumuisha mataifa mengi Mfano goguryeo,buyeo,ming nk
pia waweza angalia series ya kichina ukazani korea....
inabidi uwe makini na lugha.
wachina hawatumii nguvu ,wanaongea haraka, labda wakiwa battle field..Kuna utofauti mkubwa mno kwny rafudhi kati ya kikorea na kichina.....wachina wanatumia nguvu sana kuongea but Korea wako smooth sana
[emoji23] [emoji23] yaani wakorea wanajiachia kuongea jamani hivi wao pia huwa na script?Kuna utofauti mkubwa mno kwny rafudhi kati ya kikorea na kichina.....wachina wanatumia nguvu sana kuongea but Korea wako smooth sana
Wanatumia nguvu yaani wanaongea kama wanasoma vilewachina hawatumii nguvu ,wanaongea haraka, labda wakiwa battle field..
pale nnapo focus na maandishi sifatiliagi lugha kabisa
Nitazifuatilia mpenzi,Asante.Damushinmuhyool nimemkubali sana huyu mwanamama Baek Ji Young thanks for your opinions ndio zilinifungua, nimegundua amemzidi Taeyeon...huu wimbo wake wa " That woman" ulitumika kama OST kwenye secret garden naupenda sana pamoja na "Don't forget" wa kny Iris.
Nifah
Hili swali nimekuwa nikijiuliza sana.[emoji23] [emoji23] yaani wakorea wanajiachia kuongea jamani hivi wao pia huwa na script?
Umeona eeh? They are so natural yaaniHili swali nimekuwa nikijiuliza sana.
Wanazo script na huwa wanasoma nimeona kwa baadhi ya series kny behind the scene.Hili swali nimekuwa nikijiuliza sana.
Asante mpendwa.Wanazo script na huwa wanasoma nimeona kwa baadhi ya series kny behind the scene.