Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Ndio ni ya kimjini na ameigiza spy hivyo anajifanya taahira kumbe yupo kwenye mission.Binafsi alinivutia zaidi kwenye hizo mbili, hiyo greatly sijaiona ni ya mjini? Komaa tu umalizane nayo mimi nina muda sijaangalia drama mpya mpaka natia huruma.
Ngoja nikiimaliza nitakupa mrejesho.