Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Asante ngoja nijaribu tena
 
huwa inakua hivyo inastuck kisha inaendelea hivyo ukiweza kushusha episode 5 kwa siku jipongeze maana kesho yake utashusha 10 kisha utaendelea hivyo hivyo maana utakua umeshaizoea na kuijulia. ukiwa unadownload fanya kazi nyingine huku ukicheza na ku add time tu.(ukibahatisha ikakubali uangalie tangazo unapata muda mwingi)
Nimefanikiwa Sasa hapa imefika sehem kama imestuck Ila VPN Bado iko on
 
Asante
 
Kwenye mb chache nkiri wako vzuri sana ila kimo wana series nyingiii[emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu kimoitv tv nikidowd epsode zinajipakua mbili wakt nimedownlod moja, na data inasepa ya epsod mbili hii imekaaje mzee, mara ya kwanza nilidhan labda nakosea naklik mara mbili bt ni tofauti huwa nabofya mara moja tu na kwenye galaxy ikishapakua unakuta mbili na bando limelika la mbili. Msaada.
 
Unatumia browser gani kudownload?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…