talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Asante ngoja nijaribu tenakama umeshaidownload na kuziona server haina haja ya mb. kazi hapo ni kuilazimisha server ikubali. mara nyingi huwa inasema user server limits.
mara ya kwanza ilinigomea nikaja kuijaribu saa kumi usiku ikakubali maana watu wanakua wamepungua ,hapo unaenda nayo siku nzima,kazi ni kuadd time tu