Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Raha wapi,simu yangu chaji mkononi,ukisikia tanesco wamefanya yao tu jua numby kakwama kudownload siku hioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una raha

Mie hii simu nikiacha zishushe nakuta imeeka pause Muda. So nategea saa kumi had saa mbili Kwa server ya german zinashuka tu huku nimeishika mkonon[emoji1787]
 
Yeah ni kweli kama baada ya kazi huna burudani nyingine kama pombe n.k basi drama ndio mahala pake.Ila dah Wakorea sio watu wazuri aisee[emoji23][emoji23]
Unacheki kdrama huku unashushia wine maisha yanataka nini zaidi!?

Mimi siwezi ziaacha maana nakuza msamiati wangu wa ngeli pia kuna falsafa nyingi sana za maisha najifunza mule

Sasa unaachaje kuangalia vitu vya kujifunza kama hivi

Ingekuwa PORN ningemwelewa jamaa hapo ila hizi drama hasa hasa za wakorea simuelewi kabisa
 
Naangalia marudio ya Blue Dragon Film Awards kuna idols waligonga show hapa ila Oh My Girl walitisha sana na Dolphin na Dun Dun Dance hadi akina Byun Yo Han,Lee Kwang Soo na Zo In Sung wanachekacheka tu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…