Na Lee Ji Hoon jeYoon kyun-sang ni bonge la actor.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukianza mchezo wa kuongeza time hutaacha very funny kama kucheza game vile
Mbona jibu ni lakikatili wakati nimekutumia ujumbe wangu kwa nia nzuri tuWe mtoto unikome
Wire tunUkianza mchezo wa kuongeza time hutaacha very funny kama kucheza game vile
Kama hupendelei fantasy drama achana nayo. Usijekuwa kama yule fulani anapakua fantasy halafu anakuja kutupigia kelele hukuPamoja na kurukaruka mwangu kwenye K-dramas sikuwahi kutaka kuiangalia MY LOVE FROM ANOTHER STAR japo ulikuwa recommend sana, baada ya kukosa project nzuri za Historical drama (ambazo ndo ulevi wangu )leo nafikiria niivute, kwa wale waliowahi kuitazama hakuna uwezekano wa kupoteza bando langu burebure?
Rate the drama for me, please.
Mimi nilipakua siku moja tu episode tatu sijui nakwama wapiWire tun
Mimi nilipakua siku moja tu episode tatu sijui nakwama wapi
Hata hiyo nimetafuta mambo ni yale yaleairtel ni kuperuzi tu. tafuta nyumbani kumenoga inakubali kushusha
Hata hiyo nimetafuta mambo ni yale yale
Ni nzuri..mdada ana kau comedy hivi utachekaPamoja na kurukaruka mwangu kwenye K-dramas sikuwahi kutaka kuiangalia MY LOVE FROM ANOTHER STAR japo ulikuwa recommend sana, baada ya kukosa project nzuri za Historical drama (ambazo ndo ulevi wangu )leo nafikiria niivute, kwa wale waliowahi kuitazama hakuna uwezekano wa kupoteza bando langu burebure?
Rate the drama for me, please.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama hupendelei fantasy drama achana nayo. Usijekuwa kama yule fulani anapakua fantasy halafu anakuja kutupigia kelele huku
Kuna huyu alaf kuna yule Mr queen miyeyusho sana [emoji3][emoji3]Ni nzuri..mdada ana kau comedy hivi utacheka
Mr Queen ni kiboko[emoji23][emoji23]Kuna huyu alaf kuna yule Mr queen miyeyusho sana [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitashangaa sana kama hiyo drama haikubeba tuzo yoyote.Mr Queen ni kiboko[emoji23][emoji23]
Kwenye Mr queen yule dada akionekana tu hata kama hajasema chochote unajikuta tu unachekaMr Queen ni kiboko[emoji23][emoji23]