Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Pamoja na kurukaruka mwangu kwenye K-dramas sikuwahi kutaka kuiangalia MY LOVE FROM ANOTHER STAR japo ulikuwa recommend sana, baada ya kukosa project nzuri za Historical drama (ambazo ndo ulevi wangu )leo nafikiria niivute, kwa wale waliowahi kuitazama hakuna uwezekano wa kupoteza bando langu burebure?

Rate the drama for me, please.
 
Kama hupendelei fantasy drama achana nayo. Usijekuwa kama yule fulani anapakua fantasy halafu anakuja kutupigia kelele huku
 
Nilichogundua kule korea, uzuri wa mdada anaangaliwa sura tu. Daah kuna wanawake wana sura nzuri balaa ila kila nikiangalia shape zao nabaki mdomo wazi.
Uzuri wa mwanamke hutokana na tamaduni za jamii fulani kumbe.

Namuelewa sana yule mdada aliyecheza MY LOVE FROM STAR, na yule aliyecheza IRIS 1...!!
 
Pamoja na kurukaruka mwangu kwenye K-dramas sikuwahi kutaka kuiangalia MY LOVE FROM ANOTHER STAR japo ulikuwa recommend sana, baada ya kukosa project nzuri za Historical drama (ambazo ndo ulevi wangu )leo nafikiria niivute, kwa wale waliowahi kuitazama hakuna uwezekano wa kupoteza bando langu burebure?

Rate the drama for me, please.
Ni nzuri..mdada ana kau comedy hivi utacheka
 
Back
Top Bottom