Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nakushukuru, hata mimi napenda kumsikiliza baek ji young ila siku hizi nimetokea kumpenda zaidi mwanadada Gummy.
 
Mimi majina yao siyafaham zaid wanayoyatumia kwenye uigizaji ila namkubari sana jamaa aliye act slave hunter ambaye pia ka act iris...
slave hunter kali kinyama
 
NAmpenda sn JUMONG na the best series ni BRIDAL MASK,hua siichoki
 
Yah huyo huyo... nifah unafahamu wimbo wa rabbit unaitwa swahili shakespear katumua tune ya kikorea... ile tune naipenda sana unajua kaitoa wapi
Siujui Mkuu...nipe khabari [emoji39]
 
Haaaaaaaa huyu kaka si kaigiza kwenye Myung Wol The Spy?
Wazurije?
Awwwwwwww
Kama hutojali nipe orodha ya alizoigiza huyo dada pls.

Hii nayo ni update pia,c'mon.
 
unajua kwenye boys over flower kim soo hyun aliondolewa kwa sababu alifanya makosa wakati wa kusoma script
Wewe?Kim Soo Hyun si Kim Nana?
Kwahiyo ndio alitakiwa kucheza kama Geum Jan D au?
Wakorea sio watu wa mchezo mchezo duh!
 
Wewe?Kim Soo Hyun si Kim Nana?
Kwahiyo ndio alitakiwa kucheza kama Geum Jan D au?
Wakorea sio watu wa mchezo mchezo duh!
hapana namkusudia yule mwanamme wa kwenye the moon that embrace the sun
 
Nimefuatilia siye kweli...
Yeah...nilimuona kwenye Iris 1 akiwa kama rafiki yake na Daegil...isn't?
 
hapana namkusudia yule mwanamme wa kwenye the moon that embrace the sun
Haaaaaaaa jamani ndio maana nilimfananisha na yule jamaa aliyekuwa anatengeneza vyombo (alikuwa yatima na player pia...lol)
Mwenye nywele nyeusi...hope umeshamjua.
Kwahiyo alikuwa acheze kama nani?
Dah can't imagine angecheza ile drama ingekuwa hot kiasi gani.
Asante kwa info mkuu.
 
Sasa haya ndio mambo tuliyokuwa tunayamiss afadhali ulipotea kidogo ukaweza kuja na updates...
Huyu dada nilimkubali sana kwenye iris na pale mchumba alipopigwa risasi akienda kumvisha pete nililia kweli. Thanks rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…