I can't waitJi Chang Wook reportedly to lead new OTT criminal action drama The Worst Evil
View attachment 2204941
Hii inaonesha ni nzuriKBS drama Bloody Heart main poster, broadcast on May 2.
View attachment 2204926
Sorry tubau ni misspelling au jina la app?Leo tubau ndo unaanza kutumia
Kama unatumiaga wanasema boost kwa kuweka sh 2
Mi ikigoma huwa nazima data na start upya
Au sometime itagomaa lisaa ila ukijaribu baadae kidogo inakubali
Hatujazoea Wakorea kuwa na scenes chafu kwenye drama zao tofauti na kwenye filamu zao au Wazungu.
Kwa mfano Frozen Flower hivi zile scenes huwa wanafanya kweli ama kutuzuga tu maana zipo real sana?
No nahisi unasemea movie ya Obsessed aliyocheza Song Seung Heon na Ljm Ji Yeon ya kijeshi mwamba alikuwa anakaza mke wa mjeda mwenzake.Nami bado najiulizi hilo swali.
Kuna moja nilikutana nayo sehemu mtandaoni yaan ipo real kabisa jamaa anakaza kwenye gari na kifuani ananyoya. Bahati mbaya sijamkariri jina na kwenye hizi drama nilishawahi muona. Hadi muda huu nimebaki kushangaa na drama hawakuiandika jina ila kama ya kikachero flani hivi either zile za kaskazin vs kusini jinsi walivyovaa kiaskari.
No nahisi unasemea movie ya Obsessed aliyocheza Song Seung Heon na Ljm Ji Yeon ya kijeshi mwamba alikuwa anakaza mke wa mjeda mwenzake.
Dramas huwa hawaoneshi sensitive areas ni kiss tu ila kwenye movies ndio balaa.
Kuna moja inaitwa The Handmaiden ni balaa hiyo kacheza Kim Tae Ri hiyo dah nilibaki speechless sikutegemea nilichokutana nacho hiyo alikuwa anamtrain demu flani wa Kijapan mambo ya chumbani kabla ya kuolewa bwana eeh wakageuka kuzimiana wao bwana in short ni lesbians.
Ndio maana wanachelewa kuoa na kuolewa kwa hizi kazi zao maana hakuna mtu atayekubali mke wake/mume acheze vile [emoji23][emoji23]
Sorry tubau ni misspelling au jina la app?
Asubuhi ilikubali kwa airtel ila sasa HA Tunnel hai connect vpn yake. Mwenye configuration za uhakika naomba
Business proposal inataka kufanana na crazy love😒 nipo napambana hapa nAsante kwa kunipa mwangaza maana ile The King :Eternal Monarch sikuipenda I thought hii inaweza kwenda vizuri [emoji1787]
Nipambane na Business Proposal kwa sasa..
Nashukuru Kwa kuniokoles mda maana ndo nilitaka niangalie soonKwa kweli mim imenishinda aisee naiona mbovu saaana
We jinsia gani kwanza? Maana najua taste za series za wanaume na WanawakeNashukuru Kwa kuniokoles mda maana ndo nilitaka niangalie soon
Love ft marriage and divorce wamejua kuirefisha aisee..nahisi kutakuwa na season 4. Ma gape kwenye season 3 ni ya kutosha
Itakuwa inawalipa haswaAlaumiwe aliyewafundiaha wakorea mambo ya seasons
Vip hiyo drama ni nzuri? Unaweza kuipa rate ya ngapi over 10?Love ft marriage and divorce wamejua kuirefisha aisee..nahisi kutakuwa na season 4. Ma gape kwenye season 3 ni ya kutosha
Jamani... Tuelekezeni Basi na wengine tuenjoy.... Maana tumekuwa wasoma comments tu hata hatuelewi nini kinaendelea [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23]We jinsia gani kwanza? Maana najua taste za series za wanaume na Wanawake
Jamani... Tuelekezeni Basi na wengine tuenjoy.... Maana tumekuwa wasoma comments tu hata hatuelewi nini kinaendelea [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23]We jinsia gani kwanza? Maana najua taste za series za wanaume na Wanawake