Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Leo tubau ndo unaanza kutumia

Kama unatumiaga wanasema boost kwa kuweka sh 2

Mi ikigoma huwa nazima data na start upya

Au sometime itagomaa lisaa ila ukijaribu baadae kidogo inakubali
Sorry tubau ni misspelling au jina la app?
Asubuhi ilikubali kwa airtel ila sasa HA Tunnel hai connect vpn yake. Mwenye configuration za uhakika naomba
 
Hatujazoea Wakorea kuwa na scenes chafu kwenye drama zao tofauti na kwenye filamu zao au Wazungu.

Kwa mfano Frozen Flower hivi zile scenes huwa wanafanya kweli ama kutuzuga tu maana zipo real sana?
 
Nami bado najiulizi hilo swali.

Kuna moja nilikutana nayo sehemu mtandaoni yaan ipo real kabisa jamaa anakaza kwenye gari na kifuani ananyoya. Bahati mbaya sijamkariri jina na kwenye hizi drama nilishawahi muona. Hadi muda huu nimebaki kushangaa na drama hawakuiandika jina ila kama ya kikachero flani hivi either zile za kaskazin vs kusini jinsi walivyovaa kiaskari.

No nahisi unasemea movie ya Obsessed aliyocheza Song Seung Heon na Ljm Ji Yeon ya kijeshi mwamba alikuwa anakaza mke wa mjeda mwenzake.

Dramas huwa hawaoneshi sensitive areas ni kiss tu ila kwenye movies ndio balaa.

Kuna moja inaitwa The Handmaiden ni balaa hiyo kacheza Kim Tae Ri hiyo dah nilibaki speechless sikutegemea nilichokutana nacho hiyo alikuwa anamtrain demu flani wa Kijapan mambo ya chumbani kabla ya kuolewa bwana eeh wakageuka kuzimiana wao bwana in short ni lesbians.

Ndio maana wanachelewa kuoa na kuolewa kwa hizi kazi zao maana hakuna mtu atayekubali mke wake/mume acheze vile [emoji23][emoji23]
 
Hio hio(nimemgoogle actor) sema niliona scene ndogo nikadhani ni drama. Maana duh kifua cha mwanamke hakikuzibwa kabisa

Aiseee wana makubwa. Ndo maana hata wakioa inabidi mmoja au wote wapumzike kulinda ndoa zao au divorce ihusike
No nahisi unasemea movie ya Obsessed aliyocheza Song Seung Heon na Ljm Ji Yeon ya kijeshi mwamba alikuwa anakaza mke wa mjeda mwenzake.

Dramas huwa hawaoneshi sensitive areas ni kiss tu ila kwenye movies ndio balaa.

Kuna moja inaitwa The Handmaiden ni balaa hiyo kacheza Kim Tae Ri hiyo dah nilibaki speechless sikutegemea nilichokutana nacho hiyo alikuwa anamtrain demu flani wa Kijapan mambo ya chumbani kabla ya kuolewa bwana eeh wakageuka kuzimiana wao bwana in short ni lesbians.

Ndio maana wanachelewa kuoa na kuolewa kwa hizi kazi zao maana hakuna mtu atayekubali mke wake/mume acheze vile [emoji23][emoji23]
 
Sorry tubau ni misspelling au jina la app?
Asubuhi ilikubali kwa airtel ila sasa HA Tunnel hai connect vpn yake. Mwenye configuration za uhakika naomba

[emoji23][emoji23]
Pole ni typing error

Nilitaka kuuliza kama ndo mara ya kwanza kutumia
 
Shukrani zangu za dhati ziende kwa wale wanaocomment kwenye hizi websites za kikorea walipendekeza kuwepo na drama ya "Watcher" dah! Hii drama ni moto ina unyama mwingi sana kuna akili Mingi imetumika na kila episode inapoisha unatamani uitazame next episode wakorea wanajua kwa kweli
 
Back
Top Bottom