si niliona kadi ya mualiko kutoka kwa nigendako, ndio nikakosa nguvu ya kukualika baada ya kushuhudia umepokea mualiko wa dume suruali
mahusiano yangu dhidi ya Numbisa baada ya kuchelewa kunipa mualiko wa pasaka.
dae naye akamnyima mualiko wa eid
team our blues drama wanafahamu nilichokikusudia
View attachment 2215344
Nzuri kama unapenda family drama..otherwise itakuboaVip hiyo drama ni nzuri? Unaweza kuipa rate ya ngapi over 10?
Five enough
Family drama nzuri
inhiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wakorea wana dhambi ati ipo mwishoni sekunde moja tu
Ka Kim ji won sijui kwa nini sikapendi kale kadada...kamenifanya hadi Leo sijaangalia Fight for my wayCopy and paste
arthadal chronicles season 2 inatarajiwa kuanza kushutiwa ila sasa cast wamebadilishwa kutoka song joong ki na kim jiwon hadi kuja wapya ambao ni lee joon gi wa kwenye moonlovers na shin sekyung..
Khaadali ni mwanamke (mfano chelsea) na cocky ni mwanaume (mfano arsenal). Bado hujaelewa tu,
Hao usiowafahamu niLee seung giLeo umeniamulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikula sana fimbo shuleni kisa kushindwa kukariri tebo leo hii nianze kukesha kukariri majina ya wasaniii akhuu. Ukiona nimeweka habari hapa ina jina halisi la msanii na sijakosea spelling jua nimeicopy sehemu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kang chi,kim nana,healer,yumi hawa ni baadhi tu nisiowafahamu majina yao halisi halafu walaa sina dalili ya kuyatafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kazi mno kuyashika majina. Ngoja nimalizie Once again bonge la family drama. ms parasite wa kwenye gentleman yupo. episode ya kwanza tu watoto wanne wa familia moja wanapata talaka na kurudi nyumbani. Episode 54 complete
Mimi kuyatamka ndio sina uhakika ila muigizaji nimuone drama mbili nisishike jina labda awe hajanivutiaAiaee napata tabu sana kuya shika majina ya hawa actors wa korea haya kuyatamka sijui kama nayapatia .
Na vile wanavyofanana tabu tupu
[emoji16][emoji16][emoji16] yaani nikiona tu mtu kavaa shati la maua najua ehee tayari...ni either loan shark au gangster fulani hiviLoan sharks wa kikorea lazima wavae shati za rangi rangi za kung'aa na maua maua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kituko kwenye kujipulizia pafyumu full mbwembwe mtu anapulizia hewani halafu anajitupiapo eti atanukia vizuri daah
Mimi nimejiwekea malengo kwa mwaka nitaangalia family drama mbili tuAsante sana maana dae alinidondoshea gazeti reeefuuuu la kuninyima mualiko wa Idd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daemushin nshapata mwalikooo.
Drama zipo tele halafu siku hizi nimehamia family drama mazima episode 50 ila burudani kama zote.
Famous korean surnamesHao usiowafahamu niLee seung gi
Park min young
Ji Chang wook
Kim Go eun
Ingawa sijaulizwa naanza kukufundisha kuanzia leo
Huyu bwana Um mwambie atupumzishe kwanzaUhm Ki Joon confirmed cast for tvN drama Little Women, he will act as Park Jae-sang who is a new politician related to the huge incident that the three sisters will be swept away and will take the lead in the story.
Broadcast in 2022.
WowNetflix drama The Sound Of Magic character posters,
release on May 6.
View attachment 2204914
casting
ji chang wook
Choi Sung Eun
Naona katika harakati za kusaka au kukamata chance nzuri ka kim go eun nako kakaigiza movie aina ya frozen daahKa Kim ji won sijui kwa nini sikapendi kale kadada...kamenifanya hadi Leo sijaangalia Fight for my way
Hao usiowafahamu niLee seung gi
Park min young
Ji Chang wook
Kim Go eun
Ingawa sijaulizwa naanza kukufundisha kuanzia leo
Oyooo shetani ameshindwatvN drama Eve
Seo Ye Ji single main poster, confirmed to premiere on May 25.
View attachment 2204917