Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kimoitv

ukitaka uipate drama yoyote kirahisi kule kimoitv,(search kupitia google)

nenda google kisha type jina la drama malizia na kimoitv

.Mfano five children kimoitv kisha search yatakuja matoleo kibao la kwanza linakua kutoka kimoitv
Five Enough sijaiona Kimoi wala Nkiri..mnapakulia wapi
 
Kuna wamama wanajua kuudhi jamani ukitaka ukereke mpaka kutaka kuingia kwenye drama husika uumpe mabango yake mama mjengo Angalia Our Gab Soon(family drama)

Huyu mama kauvaa uhusika halisi wa watu wabishiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚neno lake ndo sheria
 
Hii Our Gab Soon nzuri sana ila dah pisi kama Gab Soon adimu sana.
 
Itakua wanataka ya kutafsiriwa. Nilishawahi kuombwa na mtu nimvutie vagabond ile nimemuwekea kwenye flash kwenda kuangalia nikaanza kupata lawama mbona haijatafsiriwa kiswahili.
Startimes wanaonyesha My golden life nashangaa watu wanasema hawaielewi daah kweli watu tunatofautiana
 
Utakua team peleka mbele hasa pale panapoenda taratibu au team kosa uvumilivu yaani episode hii uione leo ile uione wiki ijayo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Mimi huwa siwezi kabisa kufatilia tamthilia kupitia channels, ni either iwe iwe ni kwenye simu au PC.
 
Utakua team peleka mbele hasa pale panapoenda taratibu au team kosa uvumilivu yaani episode hii uione leo ile uione wiki ijayo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Majibu yote ni sawa๐Ÿ˜‚

Mambo ya kupangiana ratiba siyaelewi kabisa, na kuna sehemu nataka nipeleke mbele ila inanilazimu kuangalia.
 
Itakua wanataka ya kutafsiriwa. Nilishawahi kuombwa na mtu nimvutie vagabond ile nimemuwekea kwenye flash kwenda kuangalia nikaanza kupata lawama mbona haijatafsiriwa kiswahili.
Wametafsiri, ile ya kuingiza sauti. Sema wakorea wakiingiziwa sauti hawanogi wala...raha ya drama ya kikorea usikie kikorea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ