Jioni nitawasilisha mbinu ya kupakua episode nyingi kwa mpigo kwa site pendwa ya kimoiTv kupitia idm+
Apa tunazungumzia kwa kwa site iliyoweka download link kwa sequence
Eg
The defendent
Episode 1
01_kissTVSeries.com.mp4
Episode 2
02_kissTVSeries.com.mp4
Tofauti katika download link ni namba za episode kwa link tajwa ni 01 , 02 zitaendelea 03 04 05 mpka episode ya mwisho
Kwahiyo ukishaona ivi alafu unataka kupakua episode zote au 10 (any)
Unaingia idm+ option ya Batch download
Apo tutaingia download link,from, to, digits
Nianze na "digits" hii inaweza kua 1, 2 au 3. Utaweka moja kama episode kwenye download link zimeandikwa kwa single digit yan 1 2 3 4, utaweka 2 kama ni double digit yani 01 02 03 04
Na 3 kama ni 001 002 003 004
Kwa link yetu ya mfano nimehighlt kwa rangi nyekundu episode 1 ni 01 episode two ni 02 so digit yake ni 2
Twende "from" na "to"
Apa unaweka sasa unataka kupakua kutoka epiosode ya ngapi mpaka ngapi mfano nimeshacheki npaka epiosode ya 7 nataka kupakua ya 8 mpaka 13
From nitaweka 8 , to nitaweka 13
Mind you hata kama kwenye download link ni 08 09 10 11 12 13 au 008 009 010 011 013 hii nikwasababu tumeshaset "digit"
Tumalizie na download link
Apa utachagua download link yako utaangalia difference ipo vipi kwa link yetu ya mfano nimehighlight kwa red colour
Refer
The defendent
Episode 1
01_kissTVSeries.com.mp4
Episode 2
[/URL]
02_kissTVSeries.com.mp4
Sasa hii sehem inayochange kwa sequence 01 02 ... utaireplace na * (nyota)
Unachukua link moja tu
*_kissTVSeries.com.mp4
Apa sasa ushamaliza utaclick start download
Ikimalisa kuload apo utaclose download link zitakua tayari zinarun
In case unamashaka unaenda kimoi kuverify izoepisode kama zina mb zinazofanana na kwenye downloader
Maendeleo hayana chama