Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimeipenda yote. Ila kama imekushinda nisikupe matumaini hewa. Mfano Mie hadi muda huu bado sielewi hivi jumong inanishindaje yaani sijawahi vuka episode ya tano kila nikifika hapo nafuta.
Aisee jumong bonge moja la series yaani mule utacheka,utapata mchecheto,utachukia baadhi characters matendo yao.

Nilikuwa nairudia rudia sana zamani hadi nilipokuja ichoka nikaifuta
 
Nzuri sana ile yaani ni kati ya drama za mwaka huu nilizozipenda.

Halafu naona Oh Yeon Seo round hii ndani ya Cafe Minamdang kaja kama tough detective nna imani hatalilia mapenzi kama kawaida yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu dada sijamuona sana, nimemuona kwenye shine or go crazy na kwenye love with flaws tu
 
Hapana sijaimalizia..naangalia kwanza Just Between Lovers japo nayo naona nyota..nimekua sivutiwi na series za watu wenye trauma na uchungu mioyoni mwao sijui kwa nini[emoji23][emoji23]
 
Namuona kila kona. kuna family drama jang bori is here yupo,my husband got a family,a korean Odyssey,mad for each other,my sassy girl. Ila kwenye hio shine or go crazy yupo vizuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu dada sijamuona sana, nimemuona kwenye shine or go crazy na kwenye love with flaws tu
 
Visasi vinyongo, bullying daah binadamu tuna pilikapilika nyingi sana. Ila kwa wakorea wana extra pilikapilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?
 
Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?
Vitu vingi nadhani vinavyoonekana kwenye dramas vina existence kwao,kama bullying tu ipo vingine haviwezi kosa.
Zile conglomerate ndio usiseme za kutosha na wana life lao kama yule Lee Yi Kyung aliyecheza Waikiki,Mirror of the witch n.k ni mtoto wa CEO wa LG

Basi kuna ile hafla ya tuzo za KBS drama 2021 alimpigia simu Mama yake akamuita mpenzi akimpa taarifa kuwa kashinda tuzo basi na Maza ake alivyojibu ilikuwa ni vicheko ukumbi mzima.

Muite Mama wa kibongo mpenzi anakupa laana[emoji23][emoji23]

Anyway but napenda kuona wanavyotabasamu muda wote hata kama wana maumivu moyoni
 
Natamani bathhouses zao,kuna kila kitu mule ndani. Zipo kila kona na bei chee,huku bongo mtu anazaliwa mpaka anakufa hajaingia sauna jamani jamani tunakosa vingi😂😂😂😂
Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…