Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Site zote za Asian Dramas huikosi hata Kimoi Tv ipounazipatia site gani maana pengine mpaka kukariri majina yake na kusearch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Site zote za Asian Dramas huikosi hata Kimoi Tv ipounazipatia site gani maana pengine mpaka kukariri majina yake na kusearch
Nzuri sana ile yaani ni kati ya drama za mwaka huu nilizozipenda.Numbisa shooting stars naona naanza kuielewa baada ya kujilazimisha kuangalia
Aisee jumong bonge moja la series yaani mule utacheka,utapata mchecheto,utachukia baadhi characters matendo yao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimeipenda yote. Ila kama imekushinda nisikupe matumaini hewa. Mfano Mie hadi muda huu bado sielewi hivi jumong inanishindaje yaani sijawahi vuka episode ya tano kila nikifika hapo nafuta.
Aisee jumong bonge moja la series yaani mule utacheka,utapata mchecheto,utachukia baadhi characters matendo yao.
Nilikuwa nairudia rudia sana zamani hadi nilipokuja ichoka nikaifuta
Asante mkuu ile fates and furies ulionitajia ni hatari kuliko maelezo aisee Asante once againFall In Love
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nzuri sana ile yaani ni kati ya drama za mwaka huu nilizozipenda.
Halafu naona Oh Yeon Seo round hii ndani ya Cafe Minamdang kaja kama tough detective nna imani hatalilia mapenzi kama kawaida yake
Hapana sijaimalizia..naangalia kwanza Just Between Lovers japo nayo naona nyota..nimekua sivutiwi na series za watu wenye trauma na uchungu mioyoni mwao sijui kwa nini[emoji23][emoji23]Vipi umeimalizia? Nimeangalia episode mbili naona maruweruwe...1.hekaheka nyingi watu wanakimbia hovyo
2.kile ki bok joo kinaongea harakaharaka kinanipa wakati mgumu kusoma subtitles
3. Yule actor wa kiume sijampenda wala
Numbisa ameisifia ila naona itanishinda
Hapana sijaimalizia..naangalia kwanza Just Between Lovers japo nayo naona nyota..nimekua sivutiwi na series za watu wenye trauma na uchungu mioyoni mwao sijui kwa nini[emoji23][emoji23]
Yah ni nzuri,ushaangalia Mask ya Ju Ji Hoon na Soo Ae?Asante mkuu ile fates and furies ulionitajia ni hatari kuliko maelezo aisee Asante once again
Mask ya 2015 si ndio hiyo au? Kama ni hiyo dah ni Kali mno ina story tamu sanaYah ni nzuri,ushaangalia Mask ya Ju Ji Hoon na Soo Ae?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu dada sijamuona sana, nimemuona kwenye shine or go crazy na kwenye love with flaws tu
Halafu wakorea sio wasamehevu sijui niite hivyo..yani wana visasi mno aiseeKuna kipindi wakorea walifululiza na trauma zao hadi zinachosha
Halafu wakorea sio wasamehevu sijui niite hivyo..yani wana visasi mno aisee
Wana makasiriko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu wakorea sio wasamehevu sijui niite hivyo..yani wana visasi mno aisee
Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?Visasi vinyongo, bullying daah binadamu tuna pilikapilika nyingi sana. Ila kwa wakorea wana extra pilikapilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu vingi nadhani vinavyoonekana kwenye dramas vina existence kwao,kama bullying tu ipo vingine haviwezi kosa.Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?
Nkiri ni komesha sijui anaimiliki nani?Kimoi, nkiri, mpk sasa ndo my best sites for movies and series zenye high quality for less mbs.
Natamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?