Huyo Lee yi kyung nasikia anavyoanza career yake alikimbia kwao akaenda kupanga chumba na kufanya part time kwenye book store. Yaani mtu anaacha mapesa nyumbani anaenda kufanya part time jobs mweeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio nikajua kumbe wanavyoigiza ni kweli huwa yanatokea huko kwaoVitu vingi nadhani vinavyoonekana kwenye dramas vina existence kwao,kama bullying tu ipo vingine haviwezi kosa.
Zile conglomerate ndio usiseme za kutosha na wana life lao kama yule Lee Yi Kyung aliyecheza Waikiki,Mirror of the witch n.k ni mtoto wa CEO wa LG
Basi kuna ile hafla ya tuzo za KBS drama 2021 alimpigia simu Mama yake akamuita mpenzi akimpa taarifa kuwa kashinda tuzo basi na Maza ake alivyojibu ilikuwa ni vicheko ukumbi mzima.
Muite Mama wa kibongo mpenzi anakupa laana[emoji23][emoji23]
Anyway but napenda kuona wanavyotabasamu muda wote hata kama wana maumivu moyoni
Kwamba bongo zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani bathhouses zao,kuna kila kitu mule ndani. Zipo kila kona na bei chee,huku bongo mtu anazaliwa mpaka anakufa hajaingia sauna jamani jamani tunakosa vingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba bongo zipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nashangaa eti mtu anaenda public toilet anakaa chini anashikilia sink, yaani huwa napiga picha na vyoo vya huku kwetu
Mzee baba sasa hiv naanza kukuzingatiaKwa anayetaka drama kali leo acheki Empire Of Gold kama hajaangalia
Na kwa nini leading actress anakuaga mchafu mchafu hajijali maisha yake yamesambaratika jamani..kwani haiwezekani akawa mdada classic tu akapendana na mkaka wa kitajiri kama kawaida maisha yaendeleeNatamani nije nipate rafiki mkorea niwe namuuliza vitu fulani...kiukweli nina maswali mengi sana. Mfano watu matajiri walivyo kwenye drama ndivyo wanavyoishi matajiri wa Korea?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio wote wanakuwa wachafu bwana sema wanakuwa na maisha ya hali ya chini. Secretary Kim alikuwa rafu? Huyu dada wa shooting stars je?Na kwa nini leading actress anakuaga mchafu mchafu hajijali maisha yake yamesambaratika jamani..kwani haiwezekani akawa mdada classic tu akapendana na mkaka wa kitajiri kama kawaida maisha yaendelee
Inategemea na plot sio wote wanacheza kama Hwang Jung Eum kwenye She was pretty.Na kwa nini leading actress anakuaga mchafu mchafu hajijali maisha yake yamesambaratika jamani..kwani haiwezekani akawa mdada classic tu akapendana na mkaka wa kitajiri kama kawaida maisha yaendelee
Upo kama mimi nimeona ya ovyo Sana yaani ni copy and paste ya original kuna Moja inaitwa sketch ya 2018 ni Kali mno ila kwa action iliyotoka recently ni insiderWapendwa kuna action yoyote imetoka karibun? Nimeona money heist ovyo na imeboa
Eeh sio wote ila wengi jamani..hata my love from the star nae hakuwa mchafu, touch your heart pia Dali. Ila asilimia kubwa unakuta ndo vile wanaokota dodo chini ya mbuyu. Mdada maskini anapendwa na mtoto wa Bakhresa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio wote wanakuwa wachafu bwana sema wanakuwa na maisha ya hali ya chini. Secretary Kim alikuwa rafu? Huyu dada wa shooting stars je?
HakikaInategemea na plot sio wote wanacheza kama Hwang Jung Eum kwenye She was pretty.
Ila japo ni wengi huwa wakicheza life la chini wanajiweka rough kuna wengine wamenitoka kidogo drama zao ningekutajia hapa licha ya low life ila wanajiweka charming,kama umecheki drama za Shin Se Kyung ni mfano halisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio si ndio inafanya iwe drama sasa. Mkaka classic anakutana na mdada classic wanapendana hiyo hata sio habariEeh sio wote ila wengi jamani..hata my love from the star nae hakuwa mchafu, touch your heart pia Dali. Ila asilimia kubwa unakuta ndo vile wanaokota dodo chini ya mbuyu. Mdada maskini anapendwa na mtoto wa Bakhresa [emoji23][emoji23][emoji23]
Shin se kyung nimeangalia drama zake mbili tu kwa upande wa modern.... Bride of Habaek na When a man falls in loveInategemea na plot sio wote wanacheza kama Hwang Jung Eum kwenye She was pretty.
Ila japo ni wengi huwa wakicheza life la chini wanajiweka rough kuna wengine wamenitoka kidogo drama zao ningekutajia hapa licha ya low life ila wanajiweka charming,kama umecheki drama za Shin Se Kyung ni mfano halisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio si ndio inafanya iwe drama sasa. Mkaka classic anakutana na mdada classic wanapendana hiyo hata sio habari
Naona wakorea safari hii wapo na Nam Joo hyuk...atachomoka kweli?
Anachomoka vizuri tu kuna classmate wake mwingine kaibuka kutetea.Naona wakorea safari hii wapo na Nam Joo hyuk...atachomoka kweli?