Tuhuma za bae wako zilikuwa za chumbani sana isingekuwa rahisi kwa agency kujibu haraka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atleast Agency yake inajitahid kuzijib rumors on time tofaut na SALT walivomfanyia Bae kim seon ho
Tuombee iwe hivyoAnachomoka vizuri tu kuna classmate wake mwingine kaibuka kutetea.
In short labda hao haters waje na ushahidi mzito ila zaidi ya hapo hakuna litalomkuta
Tuhuma za bae wako zilikuwa za chumbani sana isingekuwa rahisi kwa agency kujibu haraka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi yangu hii hapa ila naona inanitia uvivu tuweekend menu kwa recommendation ya al hadidyView attachment 2278426
Mimi yangu hii hapa ila naona inanitia uvivu tu
Kumbe nilisahau kuattach[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ipi hio?
Kwa upande wangu weekend huwa napenda kuwa na family dramas,nzuri hasa upande wa kula aisee wanatandika menu za kutosha mezani
Kumbe nilisahau kuattach[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuh hatare...ni Korean Odyssey[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hadi muda huu sijaziona attachment zimekataa
Duuh hatare...ni Korean Odyssey
Nimefuta. Nimeona siilewiHio ina fantasy fulan za kujiita wanyama. Iangalie tu kukamilisha ratiba. Bulgasar na artificial city zilinishinda japo nilivuta episode zote nikafuta bila kumalizia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimefuta. Nimeona siilewi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni vile simu yangu ina space ndogo, ingekuweko nafasi ningeiacha tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe uko kama mimi sijui kwa nini sinaga uvumilivu kusema ntaangalia siku nyingine nione itakuwaje. Ikinishinda tu nafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni vile simu yangu ina space ndogo, ingekuweko nafasi ningeiacha tu.
Still 17 /30 but 17 umeiona? Nimeitafuta nkiri na kimoi haipo Numbisa
Ooh ahsante, mimi pia imenigomea leo, niko na Abyss nimelazimika kupakua kimoi ma mb mengi ingekuwa nkiri ningeimaliza ila kimoi inachelewesha nimeishia kupakua episode saba tuHii mention nashangaa kwenye notification sijaiona au JF wapo kwenye matengenezo zaidi.
Kimoi ipo kwa jina la Thirty But Seventeen nimeshaiona ilipoisha tu enzi zake nikaivuta yote kwa bando la halotel night[emoji23][emoji23][emoji23]
Thirty But Seventeen S01E04 mp4 free Download | KimoiTV
Download Thirty But Seventeen S01E04 from KimoiTV in mp4 for FREE!kimoitv.com
Nkiri leo imenigomea
Hizi script sijui huwa wanaandikiwa na nani tu, yani flow ya maneno iko poa na watu wanaongea points na falsafa za kimaisha. Ukija huku kwetu, mtu anaongea tu ilimradi anaijua lugha husika, muda mwingine mara wachanganye ENGLISH-SWAHILI.Binafsi nimependa uhusika wa Park Hae Soo (Berlin). Kacheza vizuri sana kwenye hiyo nafasi.
Tuzingatie hayo maandishi kwenye subtitles. View attachment 2273008
Katika kitu sitaki hata kujaribu au kuzielewa ni Chinese dramas, yani sijui huwa nawaonaje tu halafu hata ile lugha yao hiwa siielewi yani mtu akiongea inakuwa ni kama anavuta makohozi.Hivi kuna mtu humu anaangaliaga Chinese dramas?
Jamani hii nkiri ni mimi tu ndo siipati leo au na humu mmekutana na hii changamoto?
Story zao nzuri ila kwenye action tu ndio chai sana uongo mwingi hasa zile historical dramas zao kwenye upande wa kupigana ni balaa tupu ila story nzuri.Katika kitu sitaki hata kujaribu au kuzielewa ni Chinese dramas, yani sijui huwa nawaonaje tu halafu hata ile lugha yao hiwa siielewi yani mtu akiongea inakuwa ni kama anavuta makohozi.
Lakini pia nyingi hazina story za kueleweka.