Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nna mwaka wa 7 sasa hakuna burudani nnayotazama zaidi ya Korean dramas yaani kuna muda huwa sitaki watu washike simu wala pc yangu wengi wanadhani nina picha za ajabu kumbe naogopa tu wataniona wa ajabu maana wamejaa wakorea tupu.

Natazama zangu New Leaf muda huu[emoji91]
 
Mnatizama nin jamani
Natizama Eve ila nahisi kama natizama marudio ya drama za chaebol family

Yumi’s cells naona sipati vibe kama la season 1 sijui jinyoung naona haendan na kim go eun

Nimechek money heist korea imebid nisimame maana mmeiponda ila kiukweli hawajaiakt kama wao unakose ule udambwi wa kikorea though berlin na tokyo wameuvaa uhusika vizur

Sasa nataka niianze Anna ya Suzy
Ila ishapondwa subtitle
 
Jamani ee bando la mseleleko tushapata mwenye mbinu za kudownload pesa atufundishe tupunguze kubanana kwenye daladalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nikitulia tu nipo you tube kushangaa maajabu ya volcano
 
Wakorea weusi tuna tabia moja kumbeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tupo wengi kwenye hii burudani nina miaka sijakaa kuangalia television labda niwe safarini ndani ya bus au ugenini wakati wa kuongea na mwenyeji
 
Nataka kuanza my liberation,empire of gold ila napata uvivu. Kila week nina episode mbili mpya za its beautiful now ni family drama ongoing ipo episode 28. Nina ep 27 na 28 zitanivusha week nzima
 
Jamani hii yumi's cells naisubiria kwa hamu iishe ndio nipakue. Sijali akina yumi wanafanyaje mimi napenda cells[emoji1787][emoji1787][emoji1787] can't wait to see Lust cell, reason,hunger, love, emotion na wengine
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hatari sana huu ugonjwa ila mimi kilichonishinda ni muziki. Umenishinda kabisa
 
Jamani ee bando la mseleleko tushapata mwenye mbinu za kudownload pesa atufundishe tupunguze kubanana kwenye daladala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikitulia tu nipo you tube kushangaa maajabu ya volcano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna nyuzi humu jf zinaelekeza namna ya kudownload pesa
 
Aiseeh nikipitia update za watu humu kwenye huu uzi ndo naamini kuwa mimi bado learner sana kwenye hii tasnia licha ya kujiona nguli na addict wa k-drama, yaani watu wanataja drama ambazo sijawahi hata kufikiria, watu wamekariri celebrity wa korea kama wanaishi kule yani, mara tabia zao.....nk.

Kama hili lingekuwa ni clasa basi ni ile umepelekwa shule za vipaji ( ILBORU, MZUMBE, TABORA) kimchongo halafu unakuta watu wamekata syllabus za form 5&6 kabla hata hamjaanza masomo, ni lazima wenge likutokeπŸ˜‚.

Ngoja niwataje tu Numbisa talnam Al-Hadidy Daemushin Khantwe Aiseeh.
 
Kuna stimu flani hivi kuwa ina nivaa nikiikubali drama fulani (mara nyingi ni story nzuri na waigizaji), najikuta natamani tu niwe korea nipige nao story nione mfumo wa maisha yao halisi, najikuta tu nimeanza kuwafatilia kwenye other sources kujua maisha yao.

Sema jamaa nasikia ni wabaguzi sana, kuna siku ntaenda kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi bado sana huwezi kunilinganisha na Daemushin Al-Hadidy na manguli wengine.
Kuna rafiki yangu huwa anacheka balaa ye wakorea anawaangaliaga startimes basi tukiwa wote ananishangaa ninavyomtajia majina ya waigizaji na umri wao[emoji16][emoji16] eti unawezaje kushika majina yao yalivyo magumu
 
Hicho kipengele cha kushika majina ni msiba hata kwangu, nawajua waigizaji wengi sana (karibia wote) kwa sura na drama walizocheza ila ukiniuliza majina yao sikujibu.
 
Mimi majina yapo hapa ila nipo tofauti na fangirls wanavyovutiwa na mastaa wa kiume basi mimi navutiwa na wa kike akina Noona.

Mfano Shin Se Kyung napenda macho yake ya aibu,Seo Ji Hye,Han Hyo Joo tabasamu lake dah noma,Lee Se Young akicheka meno 32 yote nje,Yoo In Young japo anachezaga character za kukera ila naye ni noona wangu,Go Min Si,Song Hye Kyo,Seo Hyun Jin,Im Soo Hyang,Sooyoung,Cho Yi Hyun,Kim Seoulhyun,Hyejeong,Han So Hee n.k

Anyway hao ni wachache tu ningejaza essay hapa[emoji23][emoji23]
 
Upo kama mie nilipoanza kuingia ndani ya uzi huu nilijiona ka underground huku daemushin,kule aminas,hapa nifah,bado hujamsahau khantwe mara talnam na wengineo hasa wale wataalam wa historical dramas mtu anaangalia episode 200 nilibaki mpenzi mtazamaji na saiv kaja al hadidy najikongoja tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚zile ngumu,weka pesa upate pesa hapana kwa kweli bora za kuangalia video upate pesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna nyuzi humu jf zinaelekeza namna ya kudownload pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…