Tashacobbs
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 572
- 1,559
Hizi melody mi ndo zinanimalizaKweli kila mtu huwa na chaguo lake, yangu ni:-
Walk on a dreamy road - Jang Nara
DONG YI
View attachment 2281000
Umeisikiliza hiyo OST niliyoweka hapo?Hizi melody mi ndo zinanimaliza
Ndio inaitwa first love?Bado kuna first love ya akina Gantaee demu unayempenda mwisho wa siku ndo unakuja kujua mama ake ndo kamuua mama yako na demu ivoivo alikuwa hajui fikiria iyo picha lake
Wazee wa kutafsiriwa hao[emoji23][emoji23]Ndio inaitwa first love?
[emoji1787][emoji1787] nimecheka kweli yani, hebu muonyeshe machimbo ya kujipakuliaWazee wa kutafsiriwa hao[emoji23][emoji23]
Ndio inaitwa first love?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaitwa It's okay not to be okay. Achana na drama za kutafsiriwa ingia nkiri.com ujipakulie upendachoFirst meet , ndo halisi ya jina lkn ndo ivo first love kwa watafsiri moon-Gantae vs ko Mun-yeong
[emoji1787][emoji1787] nimecheka kweli yani, hebu muonyeshe machimbo ya kujipakulia
Na majina kubadilishwa eti Sword Fraternity wakati story kamili na jina vimeachana mbali.Hata akimuonyesha hawezi kuzifata kule wengi wanapenda za kutafsiriwa. Mtu drama ya episode kumi na sita yeye anaenda kununua imekatwa vipande 60.
Ndio nimesikiliza,iko poaUmeisikiliza hiyo OST niliyoweka hapo?
Na majina kubadilishwa eti Sword Fraternity wakati story kamili na jina vimeachana mbali.
Na Sword Fraternity waliexist kwa episode ya 1-4 na 39-42 kama sikosei.
Jang Ok Jung waiite Sword Of The Prince wakati haiendani na jina kabisa na inamhusu Consort Jang Hee Bin story nzima.
Haya sijui Gye Baek Black ninja kisa ile kundi la siri la Sa Taek Bi.
In short siji kuangalia huo utopolo wao labda warudi enzi zile wanaanza Episode wanatafsiri full bila kugawa na jina lake OG.
Washenzi wanabadili majina ya dramas hadi kero yani, ukiiona sehemu ukaamua kuifatilia basi hauwezi kuipata kwasababu jina utakalotafuta sio halisi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaitwa It's okay not to be okay. Achana na drama za kutafsiriwa ingia nkiri.com ujipakulie upendacho
Na hivyo vipande 60 vimekatwa kuwa episode 8 per CD, na kila CD inauzwa 1500. Basi atafatulia ile drama mpaka inaisha kashapoteza 20K.Hata akimuonyesha hawezi kuzifata kule wengi wanapenda za kutafsiriwa. Mtu drama ya episode kumi na sita yeye anaenda kununua imekatwa vipande 60.
GoblinLeo nilipata nafasi ta kuwa mgeni kwa rafiki yangu mmoja, nikiwa pale kuna K-drama niliiona na nikaipenda sana ila nimesindwa kuipata licha ya kuwajua waigizaji kwa sura zao, maana imetafasiriwa na Madj kwahiyo wameibadili jina.
Plot.
Kuna jamaa alikuwa general kwenye ufalme fulani lakini baada ya kurudi kutoka vitani aliuliwa kwa amri ya mfalme kwa kuchomwa panga kifuani, baada ya hapo alifufufuka na kuwa mtu ambaye hafi. Inasemekana kuna binti atakezaliwa ndiye atakaekuwa na uwezo wa kulichomoa hilo panga ili jamaa arudi kwenye gali yake ya ubinadamu.
Naombeni jina la drama kama hamtojali wakuu,...[emoji120]
Na hivyo vipande 60 vimekatwa kuwa episode 8 per CD, na kila CD inauzwa 1500. Basi atafatulia ile drama mpaka inaisha kashapoteza 20K.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hatari, hivi kwa nini wanabadili? Lengo huwa ni nini?Washenzi wanabadili majina ya dramas hadi kero yani, ukiiona sehemu ukaamua kuifatilia basi hauwezi kuipata kwasababu jina utakalotafuta sio halisi.
Juzi nimekuta sehemu ile HEARTLESS CITY imeitwa "The undercover" kisa upepelezi aliokuwa anaufanya yule Doctor Son.
[emoji16][emoji16][emoji16] noma sana.Hata akimuonyesha hawezi kuzifata kule wengi wanapenda za kutafsiriwa. Mtu drama ya episode kumi na sita yeye anaenda kununua imekatwa vipande 60.
Na nkiri imerudi.Goblin
Leo nilipata nafasi ta kuwa mgeni kwa rafiki yangu mmoja, nikiwa pale kuna K-drama niliiona na nikaipenda sana ila nimesindwa kuipata licha ya kuwajua waigizaji kwa sura zao, maana imetafasiriwa na Madj kwahiyo wameibadili jina.
Plot.
Kuna jamaa alikuwa general kwenye ufalme fulani lakini baada ya kurudi kutoka vitani aliuliwa kwa amri ya mfalme kwa kuchomwa panga kifuani, baada ya hapo alifufufuka na kuwa mtu ambaye hafi. Inasemekana kuna binti atakezaliwa ndiye atakaekuwa na uwezo wa kulichomoa hilo panga ili jamaa arudi kwenye gali yake ya ubinadamu.
Naombeni jina la drama kama hamtojali wakuu,...[emoji120]