Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bado kuna first love ya akina Gantaee demu unayempenda mwisho wa siku ndo unakuja kujua mama ake ndo kamuua mama yako na demu ivoivo alikuwa hajui fikiria iyo picha lake
 
Hata akimuonyesha hawezi kuzifata kule wengi wanapenda za kutafsiriwa. Mtu drama ya episode kumi na sita yeye anaenda kununua imekatwa vipande 60.
Na majina kubadilishwa eti Sword Fraternity wakati story kamili na jina vimeachana mbali.

Na Sword Fraternity waliexist kwa episode ya 1-4 na 39-42 kama sikosei.

Jang Ok Jung waiite Sword Of The Prince wakati haiendani na jina kabisa na inamhusu Consort Jang Hee Bin story nzima.

Haya sijui Gye Baek Black ninja kisa ile kundi la siri la Sa Taek Bi.

In short siji kuangalia huo utopolo wao labda warudi enzi zile wanaanza Episode wanatafsiri full bila kugawa na jina lake OG.
 
😂😂😂😂😂😂wabongo wanafurahisha

Leo nilipata nafasi ta kuwa mgeni kwa rafiki yangu mmoja, nikiwa pale kuna K-drama niliiona na nikaipenda sana ila nimesindwa kuipata licha ya kuwajua waigizaji kwa sura zao, maana imetafasiriwa na Madj kwahiyo wameibadili jina.

Plot.

Kuna jamaa alikuwa general kwenye ufalme fulani lakini baada ya kurudi kutoka vitani aliuliwa kwa amri ya mfalme kwa kuchomwa panga kifuani, baada ya hapo alifufufuka na kuwa mtu ambaye hafi. Inasemekana kuna binti atakezaliwa ndiye atakaekuwa na uwezo wa kulichomoa hilo panga ili jamaa arudi kwenye gali yake ya ubinadamu.

Naombeni jina la drama kama hamtojali wakuu,...[emoji120]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaitwa It's okay not to be okay. Achana na drama za kutafsiriwa ingia nkiri.com ujipakulie upendacho
Washenzi wanabadili majina ya dramas hadi kero yani, ukiiona sehemu ukaamua kuifatilia basi hauwezi kuipata kwasababu jina utakalotafuta sio halisi.

Juzi nimekuta sehemu ile HEARTLESS CITY imeitwa "The undercover" kisa upepelezi aliokuwa anaufanya yule Doctor Son.
 
Leo nilipata nafasi ta kuwa mgeni kwa rafiki yangu mmoja, nikiwa pale kuna K-drama niliiona na nikaipenda sana ila nimesindwa kuipata licha ya kuwajua waigizaji kwa sura zao, maana imetafasiriwa na Madj kwahiyo wameibadili jina.

Plot.

Kuna jamaa alikuwa general kwenye ufalme fulani lakini baada ya kurudi kutoka vitani aliuliwa kwa amri ya mfalme kwa kuchomwa panga kifuani, baada ya hapo alifufufuka na kuwa mtu ambaye hafi. Inasemekana kuna binti atakezaliwa ndiye atakaekuwa na uwezo wa kulichomoa hilo panga ili jamaa arudi kwenye gali yake ya ubinadamu.

Naombeni jina la drama kama hamtojali wakuu,...[emoji120]
Goblin
 
Ndo mchezo wa ndugu yangu mmoja hivi nikimpa ninazovuta nkiri,kimoi anazisimanga hazielewi na hapo english inapanda vizuri tu
Na hivyo vipande 60 vimekatwa kuwa episode 8 per CD, na kila CD inauzwa 1500. Basi atafatulia ile drama mpaka inaisha kashapoteza 20K.
 
Washenzi wanabadili majina ya dramas hadi kero yani, ukiiona sehemu ukaamua kuifatilia basi hauwezi kuipata kwasababu jina utakalotafuta sio halisi.

Juzi nimekuta sehemu ile HEARTLESS CITY imeitwa "The undercover" kisa upepelezi aliokuwa anaufanya yule Doctor Son.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hatari, hivi kwa nini wanabadili? Lengo huwa ni nini?
 
Na link hii hapa

Na nkiri imerudi.

Back
Top Bottom