Nakumbuka hata mimi niliwahi kuifuatilia emperor of the sea kwenye cd hadi nilichoka, episode moja ina dakika 15. Baadae nikaenda YouTube...nako episode hazijaisha, sikumbuki niliimalizia wapiNa hivyo vipande 60 vimekatwa kuwa episode 8 per CD, na kila CD inauzwa 1500. Basi atafatulia ile drama mpaka inaisha kashapoteza 20K.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hatari, hivi kwa nini wanabadili? Lengo huwa ni nini?
Watu wanaona uvivu kusoma subtitle, kuna mmoja mimi huwa analalamika eti maandishi yanapita haraka mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi mimi nikiona maandishi yamepita sijasoma narudisha nyuma, ikiwezekana na-pause kabisa nasoma kwa kituo kama sehemu hiyo ni ya msingi[emoji16][emoji16]Ndo mchezo wa ndugu yangu mmoja hivi nikimpa ninazovuta nkiri,kimoi anazisimanga hazielewi na hapo english inapanda vizuri tu
Oyoo ila hata hivyo kimoi haikwepeki maana nkiri drama nyingi hazipo aiseeNa link hii hapa
Download Goblin The Lonely Great God | Korean Drama 480p (complete)
Download Goblin The Lonely Great God | Korean Drama 480p (complete) for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies at nkiri.comnkiri.com
Na nkiri imerudi.
Ahaa kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini si wana wateja wao bwana, hivi wanadhani kama mimi wakinificha jina ndio nitaenda kununua kwao? Namuona kabisa Gong Yoo yule pale kama nimeipenda si naenda tu gugo kuangalia drama alizoigiza naangalia inayofananiaIli wateja wasiipate iwe rahisi kwao kuwauzia episode zote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee...nenda tu gugo mwaya, tunaweza kujipinda kuandika hapa kumbe umeziona zoteTangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
Mimi huwa napenda niangalie kwakuoma subtittles ndo nailewa vizuri drama, iliyotafsiriwa uongo mwingi sana na unashindwa kusikia sound walizokusudia wenye drama.Ndo mchezo wa ndugu yangu mmoja hivi nikimpa ninazovuta nkiri,kimoi anazisimanga hazielewi na hapo english inapanda vizuri tu
Ili kuweka ugumu wa watu kuzipata maana utaenda kuitafuta kwa jina lao kumbe sio, wao waanamini mwisho wa siku utarudi kwenye hivyo vibanda kununua CD zao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni hatari, hivi kwa nini wanabadili? Lengo huwa ni nini?
Asante Numbisa.Na link hii hapa
Download Goblin The Lonely Great God | Korean Drama 480p (complete)
Download Goblin The Lonely Great God | Korean Drama 480p (complete) for free at nkiri.com. Download all the greatest blockbuster Movies at nkiri.comnkiri.com
Na nkiri imerudi.
GoblinLeo nilipata nafasi ta kuwa mgeni kwa rafiki yangu mmoja, nikiwa pale kuna K-drama niliiona na nikaipenda sana ila nimesindwa kuipata licha ya kuwajua waigizaji kwa sura zao, maana imetafasiriwa na Madj kwahiyo wameibadili jina.
Plot.
Kuna jamaa alikuwa general kwenye ufalme fulani lakini baada ya kurudi kutoka vitani aliuliwa kwa amri ya mfalme kwa kuchomwa panga kifuani, baada ya hapo alifufufuka na kuwa mtu ambaye hafi. Inasemekana kuna binti atakezaliwa ndiye atakaekuwa na uwezo wa kulichomoa hilo panga ili jamaa arudi kwenye gali yake ya ubinadamu.
Naombeni jina la drama kama hamtojali wakuu,...[emoji120]
Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriageNa majina kubadilishwa eti Sword Fraternity wakati story kamili na jina vimeachana mbali.
Na Sword Fraternity waliexist kwa episode ya 1-4 na 39-42 kama sikosei.
Jang Ok Jung waiite Sword Of The Prince wakati haiendani na jina kabisa na inamhusu Consort Jang Hee Bin story nzima.
Haya sijui Gye Baek Black ninja kisa ile kundi la siri la Sa Taek Bi.
In short siji kuangalia huo utopolo wao labda warudi enzi zile wanaanza Episode wanatafsiri full bila kugawa na jina lake OG.
✓Fatal PromiseTangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
Hizo ni market stratagies zao, kushindwa kwako kuijua movie uliyoipenda ndo kurudi kwako.Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Ni strategies za kipuuzi zaidi wangewekeza Sana kuongeza ubora wa movie zao ili watanue wigo la market movie zao nyingi video quality zinakuwa vimepunguzwa ubora kutokana na kukatakata kwao vipande unakuta series ya episode 16 unaangalia kwa episode 100 kwa sisi ambao tupo smart hatuwezi kupoteza muda kwa situation kama hiyo.Hizo ni market stratagies zao, kushindwa kwako kuijua movie uliyoipenda ndo kurudi kwako.
Ungemjua male/female lead na story yake ingekuwa rahisi kuipataUmenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaitwa It's okay not to be okay. Achana na drama za kutafsiriwa ingia nkiri.com ujipakulie upendacho
Ni kweli kabisa, kama unavosema kila mtu na chaguo lakeKweli kila mtu huwa na chaguo lake, yangu ni:-
Walk on a dreamy road - Jang Nara
DONG YI
View attachment 2281000
Kama ni ya Thailand naifaham ila kama sio basi nitakua mistakenUmenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Hiyo ya Thailand inaitwaje?Kama ni ya Thailand naifaham ila kama sio basi nitakua mistaken